Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,452
- 13,085
Vijana tunaogemewa, fighters wazazi wetu baadhi yao waliferi wamebaki kutuangalia sisi ndio tuwakomboe kwenye umasikini, kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu tujitahidi kuicontrol mihemko yetu hasa katika mambo ya siasa, CCM wapo tayari kufanya lolote hata kuuwa watu ili waendelee kubaki madarakani.
Mimi ni miongoni mwa vijana ambao hawakujiandikisha ili kuweza kupiga kura uchaguzi serikali za mitaa, ninazo hoja zangu tano nzito zilizonipa sababu ya kutojiandikisha kupiga kura
Usibishane Na mtu hasa mitaani kuhusu mambo ya siasa, ukimsikia mtu anamsifia mama samia kama mungu we we itikia tu, unaweza kubishana Na mtu usiku ukawindwa Na shoka au panga..