Angalia utofauti wa wabunge wa nchi A na B, jinsi wanavoanza hotuba zao bungeni

mockers

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
12,806
35,229
NCHI A.
  • Kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema Kwa kunifikisha hapa,
  • Pili nimshukuru rais, Dr, amiri jeshi mkuu, mheshimiwa. Kwa kujitoa kwake Kwa nguvu zote bila kuchoka

- Tatu nikushukuru wewe mh Spika kwa kunipa nafasi niweze kuchangia hapa leo

- Nne japo sio kwa umuhimu nimshukuru mke wangu, amekua faraja kubwa kwangu na hata magumu nayopitia amekua na mimi bila kuchoka

- Lakini pia niwashukuru watoto wangu Kwa kuniunga mkono..

- Zaidi pia niwashukuru wananchi wa jimbo langu Kwa kuniunga mkono na kusimama na mimi

Mheshimiwa spika jimboni kwangu maji hakuna, na zahanati ya kikoti A haina daktari hata mmoja na vifaa tiba hakuna hata waziri anajua hilo kwani nilishaonana nae akaniahidi kufanya ziara kule lakini Kwa sasa hata simu zangu hapokei abishe kama nasema uongo nionyeshe ushahidi hapa,
Spika: Mheshimiwa una dakika moja tu.

Mbunge: Namalizia mheshimiwa, kwahiyo yote ndio kama hayo niliyosema hapo juu lakini naunga mkono hoja asilimia mia Kwa mia.

Tutaona nchi B kukoje baadae
 
NCHI A.
-kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema Kwa kunifikisha hapa,
- pili nimshukuru rais, Dr, amiri jeshi mkuu, mheshimiwa..............
Kwa kujitoa kwake Kwa nguvu zote bila kuchoka
-tatu nikushukuru wewe mh spika Kwa kunipa nafasi niweze kuchangia hapa leo
-nne japo sio Kwa umuhimu nimshukuru mke wangu, amekua faraja kubwa kwangu na hata magumu nayopitia amekua na mimi bila kuchoka
-lakini pia niwashukuru watoto wangu Kwa kuniunga mkono,
-zaidi pia niwashukuru wananchi wa jimbo langu Kwa kuniunga mkono na kusimama na mimi,
mheshimiwa spika jimboni kwangu maji hakuna, na zahanati ya kikoti A haina daktari hata mmoja na vifaa tiba hakuna hata waziri anajua hilo kwani nilishaonana nae akaniahidi kufanya ziara kule lakini Kwa sasa hata simu zangu hapokei abishe kama nasema uongo nionyeshe ushahidi hapa,
Spika:mheshimiwa una dakika moja tu,
mbunge:namalizia mheshimiwa, kwahiyo yote ndio kama hayo niliyosema hapo juu lakini naunga mkono hoja asilimia mia Kwa mia.
Tutaona nchi B kukoje baadae
Hii kama sio laana basi uchawi kweli upo😂😂😂
 
IMG_20240909_172332.jpg
 
NCHI A.
  • Kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema Kwa kunifikisha hapa,
  • Pili nimshukuru rais, Dr, amiri jeshi mkuu, mheshimiwa. Kwa kujitoa kwake Kwa nguvu zote bila kuchoka

- Tatu nikushukuru wewe mh Spika kwa kunipa nafasi niweze kuchangia hapa leo

- Nne japo sio kwa umuhimu nimshukuru mke wangu, amekua faraja kubwa kwangu na hata magumu nayopitia amekua na mimi bila kuchoka

- Lakini pia niwashukuru watoto wangu Kwa kuniunga mkono..

- Zaidi pia niwashukuru wananchi wa jimbo langu Kwa kuniunga mkono na kusimama na mimi

Mheshimiwa spika jimboni kwangu maji hakuna, na zahanati ya kikoti A haina daktari hata mmoja na vifaa tiba hakuna hata waziri anajua hilo kwani nilishaonana nae akaniahidi kufanya ziara kule lakini Kwa sasa hata simu zangu hapokei abishe kama nasema uongo nionyeshe ushahidi hapa,
Spika: Mheshimiwa una dakika moja tu.

Mbunge: Namalizia mheshimiwa, kwahiyo yote ndio kama hayo niliyosema hapo juu lakini naunga mkono hoja asilimia mia Kwa mia.

Tutaona nchi B kuko
 
Back
Top Bottom