Yaani comment yako hii ndiyo unaileta humu!!!!!!!!!!!!!??????????.....Sina hakika na umri wako but I think you are below 15.Shida ipo mkuu emb imagine hapo Cr7 aachie ushuzi bhuuuuuu mama si ataanguka akidhani bomu la Hydrogen!
Yaani comment yako hii ndiyo unaileta humu!!!!!!!!!!!!!??????????.....Sina hakika na umri wako but I think you are below 15.Shida ipo mkuu emb imagine hapo Cr7 aachie ushuzi bhuuuuuu mama si ataanguka akidhani bomu la Hydrogen!
If I were below 15yrs old, I could be on your nina's breast sucking but now I'm in the battle fighting as a hero.Yaani comment yako hii ndiyo unaileta humu!!!!!!!!!!!!!??????????.....Sina hakika na umri wako but I think you are below 15.
aiseei juzi tu ushakua wa ureno!..Kwa hapa tz tutashangaa sana hili, na wengne mtamponda cr7 ila wenzetu hii ni kawaida kwao kufanya hivyo kwan kuna shida gani?
Kweli kabisaThis also is among of the things Messi can't do.
Una uwakika?"Mke wa Mtu" hana Mke!
Na hapa mapumzikoni na mamaye huyo huyo
Japo nasikia jamaa ni ngangaripoaDah mwili wa mazoezi huo. Hadi raha
Aaah hayo mengine sina uwakika nayo so nayaacha kama yalivyo.Japo nasikia jamaa ni ngangaripoa
HahahahaHao watu wa Ulaya hayo mambo ni kawaida tu. Wabongo nao, eti hoo hayo mambo kwetu hamna. Kwanza tangu lini na nyie mkaenda hata Holiday tu?
Penzi la mama halichuji japokuwa ingependeza endapo angepakwa mafuta na mkewe
Mtoto kwa mama hakui
ingekua bongo sasaa,..ungesikia masharti ya mganga hayo,..ahahahahaha
Shida ipo mkuu emb imagine hapo Cr7 aachie ushuzi bhuuuuuu mama si ataanguka akidhani bomu la Hydrogen!