Friction Force
Member
- Nov 2, 2016
- 64
- 48
Huo ushauri wataufanyia kaziDah.. Nawashauri msubiri kidogo mkuekue.... Ndoa za utotoni si nzuri....
Huo ushauri wataufanyia kaziDah.. Nawashauri msubiri kidogo mkuekue.... Ndoa za utotoni si nzuri....
Ana mke namba 1, so akiweka n pouwahh tuYeye kashawahi kuweka status ya namna hiyo?
Unaweka profile pic watu wanamuweka kitandaniNdio saaa nyingine nashindwa! Utakuta mtu yupo bize kumweka mtu profile picture wakati yeye hajawahi kuwekwa hata kwa bahati mbaya!
Asimueke bhanah bado ajaolewa pili, Huyo mwanaume pia ana mambo ya kitoto kama unamshawish mwanamke akuweke status ya hivyo wakati hakupendi ina maana gani..Sijaona sababu hapo ya kotokumuweka au unaona afadhali ya ugomvi??? Siku zote umekuwa ukimuheshimu kipi kinakufanya usimuweke mumeo mtarajiwa na ndugu, jamaa na marafiki wamuone na kumjua??? Muweke haraka
Dunia kuna vituko! Nataka kuolewa mke wa pili, kwa kujidai kabisaa! Ndio maana anakuambia hayo, sasa kama umekuwa unamtii hizi kelele za nini, si uweke tu!Bila shaka wote muwazima wa afya.
Leo imekuwa Siku trick sana kwangu mpenzi wangu ambaye tunaitana mke na mme kwa miaka mitatu sasa. Anataka niweke neno nakupenda mume wangu katika status yangu WhatsApp jambo ambalo limezua mzozo kati yetu.
Mimi sitaki kuweka kwa kuwa yeye so mume wangu bado hatujafunga ndoa wala hatuishi pamoja ila ameniahidi kunioa kama mke wa pili.
Nimekuwa nikimtii na kuwa mwaminifu kwake na kumpa heshima zote kama mume wangu, naenda kwake anakuja kwangu.
Mwezi uliopita tulipanga kufunga ndoa ya bomani nilipogundua hajamwambia mkewe nikaghairi nikitegemea atafanya chochote katika mipango ya ndoa, lakini mpaka sasa hajafanya lolote. Mimi nimetulia namsubili yeye, ila kuweka neno la nakupenda mume wangu ndo nimegoma.
Sijui kama nimekosea ila nimeona itazua maswali kwa ndugu na jamaa zangu huyo mume wake ni yupi? Ingawa ni maisha yangu naweza fanya chochote.