Anaomba ushauri: Dogo anataka kurudi Dar

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
4,023
14,177
Screenshot_20240322-110526.jpg


Dogo kamaliza chuo tu kapigiwa pande akapata kazi akapangiwa kituo mkoani.

Kanipigia simu anasema anataka kuacha kazi, sababu maisha ya MKOANI hayawezi.

Hivi mtu Kama uyo unamjibu nini ?
 
Kila binadamu ana haki ya kuchagua atakapo labda kama hamna machaguo , kuishi sehemu ambao huipendi hata wiki ni kupoteza mda wako wa furaha .

Hizo sehemu mnaweza kumsema dogo ,hata serikali wanapoweka makao makuu panakuwa na huduma muhimu ila sehemu nyingine wamezitenga.

Nafanya mkoani wa ugenini ila sina furaha bora kukaa home ,kila mtu afanye anavyotaka Sijawahi kutamani mkoa wa nje nilipozaliwa
 
Kama ana ndoto zake ambazo zitatimia akiwa mjini wacha arudi. Mara nyingi roho uwa inakuelekeza cha kufanya ili utoboe. Mtu kapelekwa Lindi Vijijini huko ambako hata mkuu wa Wilaya anapandaga bodaboda njia ikiharibika (niliona jana UTV) sasa mtamng'ang'aniza mtu akae huko si anapotea mazima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom