Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,580
- Thread starter
-
- #41
Sasa kwanini unataka nimtongoze mwanao wakati Mimi nakutaka weweNdio umekuja kumtangaza mama na mimi humu sawa asante
Ndio ninaye anachodai mamaake hajawai kuona binti yake akiwa na mishemishe na mabwana anahisi kuna kitu hakipo sawa ni mrembo sanaWe una mchumba wako au????
Hapana tatizo ananiitaga kaka tumezoeana hivyo ukichanganya na ulokole wake sijui nianzeje na uku mama yake kanigandaItamchukua muda asipokuwa makini na mpaka akishtuka ameshachelewa.
Ndo ipi iyoPakua application ya Mama afu ndo basi ataacha hizo hbr
Sio tu computer sema information technology at allkumbe we ni expert mzuri wa kompyuta??
Mpenzi ninae ila kuna sifa zinapelea kwake ukimlinganisha na uyo, na uyo binti ni mzuri ana kila sifa ya kupendwa na yeyote ila sikumpenda before kutokana na tibia zake za kilokole pia nimekuwa kama family friend wao wananiona kama kaka yaoJe huyo binti unampenda ? Na wewe una mpenzi ? Kama unampenda mrembo huyo na huna mpenzi why not ukawa nae
Dah hatari sana mkuu Yule mama Hana ushangingi wowote ni mtu wa dini Sana sema kachangamka dini haijamkolea Kama binti yakeMama wa hivyo ni mashangingi
wewe mwambie simtaki bint yako nakutaka wewe. Urudi hapa utupe mrejesho
Mpenzi ninae
Ndo nawaza kutoka kwenye kuitwa kaka /dada mpaka babyApo anakwambia umuoe binti yake!!! Kama umemkubali changamkia fursa.
Nkimpoteza sijui huyo mama atanifikiriajeKama una mpenzi mpotezee tu
Ulitakiwa na hili swali ili liwemo kwenye thread yako ili wanaume wenzio nao wakushauri uanzeje.Hapana tatizo ananiitaga kaka tumezoeana hivyo ukichanganya na ulokole wake sijui nianzeje na uku mama yake kaniganda
Tumia hata mbinu ya kumwambia mpenzi uliye nae anafahamika kwenu nawe unafahamika kwao maana ni kosa kubwa kuumiza hisia za mtu,maana huyo binti mlokole si kwamba anakupenda bali ni ushawishi wa mama lakini mpenzi wako anakupenda ingawa inaweza kuwa kwa asilimia chacheNkimpoteza sijui huyo mama atanifikiriaje
Hahaaaa factWanaume tunazidi kupungua duniani asee,mmh hii ni hatari!