Anahujumiwa! Wafanyabiashara wakubwa wakutana kwa siri, waazimia kuficha fedha zao, kutoagiza bidhaa

Hivi interagency Za vyombo Vya ulinzi na Usalama matukio yote mazito ya aina hiii walikuwa hawaoni kabisaa???wao wali base na maandamano tuuu.haiwezekani mtu anaye ingiza kuanzia mamilioni na kuendelea Kwa mwezi akatae kulipa kodi alafu ana ona ni haki yake yeye kuto kulipa kodi wakati wafanyakazi wanalipwa mishahara kidogo lakini PEYEE iko double digits kila mwaka siku ya mei mosi wafanyakazi wanaomba walipe single digit haikuwezekana hakika ina tia sana uchungu .
 
12510429_1020094231388368_6902643882982402743_n.jpg
Akili ndogo kuliko jicho lako
 
Hao wajinga kwel kwan ukiwa mfanyabiashara mkubwa ndo usilipe kodi??? Wanategemea as vidagaa ndo tulips kodi zikajenge Barabara then wao wapitishe mizigo yao huu ni uchizi!!!!! Serikali usirud nyuma kaza hapo hapo mbona biashara zingine wanazofanya hao wanaojiita wakubwa mkiwezesha at a watanza wakawaida interns of loan zinafanyanyika tuu tena Kodi itafanyika bila usumbuf wowote .kuna MTU atashindwa kuuza pipi? Au kununua mahind kwa wakulima kisha kuyasaga? Au kupurify maji treatment kisha packing na kuuza mbona wana akili za kitoto sana hao while hawajui kuwa wao ndo sababu kubwa ya kuporomosha shilling yet koz wana import zaid huk wakiexport kidogo sana wangegoma Hawa wanaoexport labda tungeona logic ila hao wanaodampo nchi yet na mavifaa feki ya kichina na nk wakafie mbali huko hatuna time nao.mpaka sukar na wao wanataka eti waagize while viwanda tunavyo vya kutosha na KOd et wasilipe are they serious? Imefikia time wawekeze kwenye heavy industries kama wanajiona wana mihela ya kutikisa uchum wa nchi sio unawekeza kwenye JoJo na juice na mandaz kisha mtusumbua Lila kukicha vitu ambavyo mkiacha kutengeneza ndo mtaongeza ajira zaid kwa mama ntilie
Muhongo mwisho wake ni mwezi huu baada ya bunge kuanza
 
magufuli hajui hii nchi inaendeshwa na Bakhressa?
Sasa mwambie huyo Bakhresa aafache kufanya biashara hapa nchini, lakini endapo anataka ni kulipa kodi tu. HAPA KAZI TU!! Hii ni No nonsense Gorvement. Mh Magufuli you have our prayers
 
Usalama wa taifa wafanye kazi yao kuwatambua hao wafanyabiashara na hatua mathubuti za haraka zichukuliwe dhidi yao!! Ikithibitika wanataka kuhujumu uchumi hata leseni zao za biashara zifutwe toune watakimbilia wapi!!!
Akili ya kisiasa hii wala siyo kanuni za kiuchumi
 
Naona JF imepoteza hadhi ya kuwa jukwaa la wanafikra makini badala yake imekuwa kijiwe cha mashabiki. Bandiko limeletwa kama habari ya udaku na michango mingi ni ya kinazi tu.
 
Wewe nae mbona unachanganya mambo
Unawezaje kuwaza kuinua viwanda kama huna hela na hela za serikal unajua ni authority gani inazikusanya kama sio TRA?
Hulipi kodi
Angalieni,angieni.....busara zinahitahika sana kwenye hili
kuna mihimili mitatu serikali,bunge na mahakama
usidhani serikali hina sheria.
acha mihemko.
Hulipi kodi utasakamwa tuu suala la mihimil 3 hilo kila MTU analijua.nyie watu Hanna chema mnatafutiwa dawa za mahospitalini mnaanza tens kulalalama kwa kutetea wakwepa kodi
 
Dr Pombe aache kukurupuka kwa ajili ya kujitafutia sifa.
Sifa za nini wakati ameshakuwa rais?Anatafuta sifa ili zimsaidie nini?
Hivi hata kama kuna wafanyabiashara Hawakulipa kodi sawasawa,si angemalizana nao bila kuwataja hadharani?
Hivi mfano Dr.Pombe anajua madhara aliyopata Azam,Bakhressa kwa kutangazwa kuwa halipi kodi?
Kwani wananchi wanachotaka ni majina ya waliokwepa kodi au wanataka kila mtu alipe kodi stahiki?


Nimekosa maneno ya kukujibu.

Naamini wazalendo wa nchi hii na wanao jua maana ya kodi na ukwepaji wa makusudi watakujibu.
 
Wasicheze na Serikali, kwa hiyo walitaka wasilipe kodi? basi waende Marekani kuwekeza kama itawavumilia...

Serikali ina mbinu nyingi sana za kudeal na watu kama hawa, nawasihi sana waache Mara moja, watajuta, wakumbuke aliyepo Ikulu ni JPJM siyo JK.
Wafanya biashara walioficha mafuta mwaka jana na juz walifanywaje?mgomo wa mabas walifanywaje na wa malori je?
 
Hakuna mgomo usio na public support unaoweza kufanikiwa....watajuta kugoma pale wananchi watakapo wachukia na kushawishika kuvumilia!
 
Kama wameamua kusaliti kwa kuwa JPM kaamua kusimamia matakwa ya sheria wasibembelezwe hata tone. Tuliwagomea waingereza na Marekani sembuse hawa,wagome au watii sheria chaguo ni lao.
 
Wasicheze na Serikali, kwa hiyo walitaka wasilipe kodi? basi waende Marekani kuwekeza kama itawavumilia...

Serikali ina mbinu nyingi sana za kudeal na watu kama hawa, nawasihi sana waache Mara moja, watajuta, wakumbuke aliyepo Ikulu ni JPJM siyo JK.

Oh! Very good let them give us space. Tunatamani hizo fursa! Yaani wametubania kwa muda mrefu. Tutaagiza bidhaa kwa fujo na kulipa kodi halali na wakizinduka soko limejaa! Benki yangu kila siku inaniombea mkopo wa kuagiza bidhaa lakini naogopa ushuru usiothibitiwa utanitia hasara.
 
Last edited:
Back
Top Bottom