Anahitajika mpishi(chef) chicken takeaway

bluetooth

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
4,402
2,550
Anahitajika mpishi (chef) katika chicken takeaway outlet ..... awe na uzoefu au atafundishwa kutengeneza kuku Wa kukaanga kwa kutumia Pressure fryer na kuchoma kuku kwa kutumia chicken rotisserie machine .... awe anafahamu usafi (hygiene) .... good customer care na awe na uwezo Wa kujiongoza, self motivated

Send pm please
 
Jina Langu Na Hitwa David Isaac ,naishi Gongolamboto Mimi Chef Cooker Niliyesomea Foodproduction Katika Chuo Cha VETA,NA NJUWENI INSTITUTE .nimesomea mwaka mmoja na miezi mitatu.nimefanya kazi kwenye hotel hizi hapa.NEW AFRICA HOTEL ( POSTA ),NEXTGEN HOTEL ( KIBAHA PWANI ) NA BLUE PEARS( UBONGO ),NAMBA ZANGU NI 0672093703
 
Nenda PM Kwake mkuu
 
Nini kimekufanya ukaacha kazi kwenye hizi hotels??
 
Hivi watu Kwann huwa ni wavivu wa kusoma maelezo? Huwezi hata kuangalia tarehe thread ilipoletwa? Unategemea Tangu March 2016 hadi Leo miaka miwili atakuwa hajapata mtu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…