Zambotti
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,970
- 3,635
Anahitajika matron kwa ajili ya kazi ya kuhudumia wanafunzi ndani ya mji huu wa DSM katika shule, majukumu ya mfanyakazi yatakuwa ni :
01. Kupika
02. Kufua
03. Kupiga pasi
04. Kusafisha mazingira ya hostel
05. Mengineyo
Sifa za mfanyakazi zinazotakiwa ni :
01. Awe mtanzania
02. Awe muislamu
03. Awe ni mwanamke
04. Umri kuanzia miaka 25 - 40
05. Awe na elimu ya kujuwa kusoma na kuandika.
06. Awe mlezi wa watoto.
Kwa mawasiliano zaidi piga
0713 039345 , 0688 016569
NB mwisho wa tangazo hili ni tar 31 May
01. Kupika
02. Kufua
03. Kupiga pasi
04. Kusafisha mazingira ya hostel
05. Mengineyo
Sifa za mfanyakazi zinazotakiwa ni :
01. Awe mtanzania
02. Awe muislamu
03. Awe ni mwanamke
04. Umri kuanzia miaka 25 - 40
05. Awe na elimu ya kujuwa kusoma na kuandika.
06. Awe mlezi wa watoto.
Kwa mawasiliano zaidi piga
0713 039345 , 0688 016569
NB mwisho wa tangazo hili ni tar 31 May