Ameolewa na bado ananitamani, sijui kwasababu gani

Mi cku nikimkuta mtu na mke wangu nalawiti wote sibagui sichagui. Duduu au kiharage kinasimamaje sasa kwa mke/mme wa mtu?? Kuna kipindi maisha yaliyumba sana mke wa mtu tajiri sana akaniaproach na kunihakikishia atanipa kila kitu lkn Mungu ni shahidi sikushawishika hata nukta, nikamuambia apite hivi mpaka leo hii huwa aamini na amekua rafiki yangu mkubwa sana ila urafiki wenye mipaka.
Basi tembea na kilainishi make kugongewa ni dakika yoyote
 
We haumtamani tena?
Namtamani..... ila sio kama kipindi kileeeee....Ila naona yeye ingawa hasemi na kamwe hatosema...kwasababu ndio wameumbwa hivyo...ila matendo yake yanaonyesha kuwa amezidiwa....nami namuacha hivyo hivyo tuu..
 
Sijui sababu ni kitu gani,mwanamke umesha pata mume hutuliii kwa nini?
Inategemea ulimpata vipi....kama alikupata wakati tuuu umeachwa...na yeye akaja na gia no.5.yaani Usafiri,nyumba...na yale makaratasi ya Bank...lazima Ukae
 
Pole kwa mtihani...maana huo ni mtihani!Huyo X wako pengine ana matatizo na mumewe..anatafuta sympathy. Ukimruhusu tu,umetengeneza tatizo. Kama unakerwa,mfahamishe a b c kuwa hupendezwi na namna flan ambavyo ana-act kwako..anaweza akajihami kwa kukataa lakini kama ni kweli message itakuwa sent n delivered.
 
Hapa ndo unapoona ndoa hazina umuhimu sometimes...Zaidi tu ya kukidhi matakwa ya kidini
Zamani nilikuwa naamini kuwa Mtu yeyote akishafunga ndoa kanisani au msikitini...kuwa Ndoa hiyo imepangwa na MUNGU....sasa hivui nimekuja kugundua kumbe nilivyokuwa naamini sio....kwasababu nikaona mbona ndoa nyingi/chache zinavunjika wakati zimepata baraka msikitini/Kanisani....
Nikajua kumbe sio kila ndoa imepangwa na MUNGU....Hata kama imepitia msikitini na makanisani.labda wakishazeeka ndo unaweza kuhitimisha kuwa ndoa ile ilipangwa na MUNGU...
 
Pole kwa mtihani...maana huo ni mtihani!Huyo X wako pengine ana matatizo na mumewe..anatafuta sympathy. Ukimruhusu tu,umetengeneza tatizo. Kama unakerwa,mfahamishe a b c kuwa hupendezwi na namna flan ambavyo ana-act kwako..anaweza akajihami kwa kukataa lakini kama ni kweli message itakuwa sent n delivered.
Hakuwa X Kwasababu alitoa nje/kibuti.
matatizo na mumewe for A year Now? since last year when we met...ngoja labda kadri muda unavyoenda may be ukifikia mwaka wa 2,atapatana na mumewe kama wamekorofishana...
 
Wadau habari,

Kuna kitu huwa kinanishangaza labda tunaweza kupata michango mbali mbali.Hivi unakuta mtu ulikuwa unamtongoza dada fulani muda mrefu tu, akakutolea nje,then ukaja kuoa nae akaolewa.

Baada ya miaka kadhaa mnakuja kukutana kama majirani town sehemu za kazi,then inakuwaje anakuwa anakutamani sana kwasababu dalili zote unaziona na hata kuwa na bidii ya kumjua mke wako?Wakati na yeye ana mume wake?

Je anataka kuharibu ndoa yako?Au anaumia kuwa alichokiacha mwenzie anakifaidi?Au ni nini zaidi?Au anataka akupe mzigo wakati alikunyima kabla.
Nimekutana na hili mada nimeona lets share our ideas.

hapo kwenye red sijaelewa kuwa imekutokea wewe au umekuta stori mahali ukaamua kuchangia nasi?
 
Nimeikuta mahali Mkuu,nikaona ni share hapa,ila naona kwasababu mhusika hayupo nabidi nivae uhusika kwasababu watu waki quote wanashindwa kusema mwambie jamaa afanye hivi na vile,husema fanya hivi na vile...nami nimekuwa nikijibu kwasababu nilielewa na hatupendi kutaja majina na mhusika hata kama ni Rafiki yangu ndo imemtokea,siwezi sema rafiki yangu imemtokea nina marafiki wengi mkuu..isije kuwa nae yupo Jf/mitandao ya kijamii.
 
Hakuwa X Kwasababu alitoa nje/kibuti.
matatizo na mumewe for A year Now? since last year when we met...ngoja labda kadri muda unavyoenda may be ukifikia mwaka wa 2,atapatana na mumewe kama wamekorofishana...
Zungumza nae...usijejikuta unaingia mtegoni
 
Nimeikuta mahali Mkuu,nikaona ni share hapa,ila naona kwasababu mhusika hayupo nabidi nivae uhusika kwasababu watu waki quote wanashindwa kusema mwambie jamaa afanye hivi na vile,husema fanya hivi na vile...nami nimekuwa nikijibu kwasababu nilielewa na hatupendi kutaja majina na mhusika hata kama ni Rafiki yangu ndo imemtokea,siwezi sema rafiki yangu imemtokea nina marafiki wengi mkuu..isije kuwa nae yupo Jf/mitandao ya kijamii.
Mada yako imeegemea upande mmoja huwezi pata ushauri wa moja kwa moja wa kuhalalisha kuwa "anakupenda au kutata kuvuruga ndoa yako.

Kama vipi katafute na stori za huyo mwanamke akiwa anawasimulia rafiki zake huko masaluni ili tuje tuzichambue kwa pamoja
 
Ni kweli Mkuu,ila simple sana kufanya hivyo ulivyosema ila tahadhari ni kuwa unaweza kujikuta unaulizia halafu habari zikamkuta yeye muhusika Au ikwa ni Advantage kwa wengine,kumbuka hivi vitu ni Siri kubwa na Tahadhari sana Mkuu,ikizingatiwa wote tupo kwenye ndoa....
usije kujikuta unawapa watu majibu ya kile walichokuwa wanakidhania kwa Kuuliza kwako...
Ila ntalifuatilia Mkuu....
 
Ni kweli lakini utetezi wa upande mmoja hauwezi kuamua hatima ya hili suala, sana sana itatoa mwanga wa "yawezekana anakutaka kimapenzi, au kuna kitu anajaribu kukipata kupitia wewe au familia yako"

Pambana na mwisho ukweli utajulikana.
 
khaaaa.....hivi unaelewa maana ya ndoa? ndoa kama kitandania hakuko poa hakuna ndoa hapo
Siamini hicho kitu hata siku moja,raha ya kitandani ya dakika 10 haiwezi kunishushia thamani ya mume wangu,na katika ndoa huwezi kuvipata vyote,unaweza ukapa pesa,nyumba nzuri,huna shida yoyote ila mume mda na wewe hana au kazi yake
ya chumbani haiko sawa,sasa hiyo sio valid reason yakuchepuka, Huwezi kupewa kila kitu wewe lazima kutakua na mapungufu....
 
sasa sisi wakubwa zako tunakuambia hivyo kwa sababu tunaujua ukweli...Ndoa kitandani pakiwa hovyo hata kama mna pesa dunia nzima ndoa haitakuwa na furaha

Ukiona matatizo mengi ya ndoa nyingi ujue chanzo cha msingi ni kitandani...Mengine yataibuka baadaye
 
Nakuelewa ndio nasema mungu hakupi vyote wewe kitandani pawe pazuri pesa uwe nazo lazima kutakua na mapungufu..
na ukiwa kama mke meza tuu as long as watoto mungu amekupa shukuru..
 
Back
Top Bottom