CHE Raptino
JF-Expert Member
- Mar 11, 2017
- 1,027
- 1,067
Nmeipenda comment yako.sasa unataka tukushauri nini .mtu anataka kuondoka utamzuia? labda umlete yeye hapa ili tumshauri asiondoke .
Mawazo yenu yanaweza kunipa mwanga wa kubadilisha mawazo yake. Yeye si mpenzi wa social media.sasa unataka tukushauri nini .mtu anataka kuondoka utamzuia? labda umlete yeye hapa ili tumshauri asiondoke .
Si wote kuna wengine tuna ng'ang'ania kama kunguni.Wanawake wengi ndivyo walivyo. Wewe endelea na maisha ukikaa sawa utajua cha kufanya
Da! Pole sana. Itakuwa ameshapata chimbo jipya mahali. Usijiumize kwa kuwaza sana, we endelea na masomo utajua cha kufanya hapo baadaye.Mzazi mwenzagu amevumilia kwa kipindi chote hicho na sasa anasema anataka kunipunguzia matatizo na mawazo kwa kuniacha niendelee na harakati zangu za kusaka maisha na yeye aendelee na shughuli zake huku akimlea mtoto. Nitakapokaa sawa atanipatia mwanangu.
Upo kwenye mahusiano ?Si wote kuna wengine tuna ng'ang'ania kama kunguni.
Kila mtu kwake, na kila mtu anakipato chake.Upo kwenye mahusiano ?
je unaishi nyumba moja na mpenz wako au kila mtu kwake?
Hahahaha!!! Sio kama ruba?Si wote kuna wengine tuna ng'ang'ania kama kunguni.
ruba siifahamu mkuu ni nini?Hahahaha!!! Sio kama ruba?
Jaribu kutumia watu wakaribu kama wazaz ndugu zake waeleze yanayowasibu wajue jins yakumshaur mana kama umemlipia mahar huyo ni mkeo na ndoa nikukamilisha tuu, pia jaribu kuongea nae na mweleweshe kua unachokitafuta nikwafaida ya familia pengine kahis ukishapata kaz waweza mtelekeza ukaoa mwingine au kuna MTU ameshamdanganya hivyo chagua ww kama kichwa chafamilia unafanyejeWakuu habari za muda huu?
Naomba niwashirikishe hii changamoto tunayoipitia kati yangu mimi na mzazi mwenzangu!
Ni muda wa miaka sita tangu tulipofahamiana na mama wa mtoto wangu, maisha yetu yamekuwa ya furaha na amani.
Mwaka 2014 nilipata nafasi ya kujiunga shahada ya kwanza katika mojawapo ya vyuo mkoani mbeya, na hapo tatizo ndipo lilipoanzia.
Niliamua kwenda kujiendeleza kitaaluma ili kuongeza maarifa na ujuzi kwa lengo la kuandaa mazingira murua ya baadae. Niliamua kuomba ruhusa kwa mwajiri wangu katika mojawapo wa halmashauri katika mkoa wa Simiyu.
Mwajiri hakuridhia kunipa ruhusa japo nilikua na sifa na vigezo vinavyohitajika ili kupata kibari hicho.
Kwa kuwa nina malengo yangu nikaamua kwenda masomoni na kumuacha mama na mtoto sehemu tuliyokuwa tukiishi. Baada ya mabadiliko ya uongozi hapa kwetu nchini niliondolewa kwenye pay roll kwani taarifa zangu zilionesha sipo kazini. Hali hiyo ilisababisha kuyumba kiuchumi tangu April 2016 na kupelekea maisha yetu kuwa magumu.
Mzazi mwenzagu amevumilia kwa kipindi chote hicho na sasa anasema anataka kunipunguzia matatizo na mawazo kwa kuniacha niendelee na harakati zangu za kusaka maisha na yeye aendelee na shughuli zake huku akimlea mtoto. Nitakapokaa sawa atanipatia mwanangu.
Sasa wakuu naomba ushauri wenu nifanyaje kwani nampenda sana mama wa mwanangu si mpango wangu mwanangu kuja kulelewa na mama mwingine au baba mwingine.
N. B nimetoa mahari ila ndoa bado hatujafanikiwa kufunga.
Ni kweli hufahamu hicho kidude???ruba siifahamu mkuu ni nini?
Mdudu hatari sana kwa kufyonza damu. Anaishi kwenye madimbwi ya maji. Akikushika haachii.ruba siifahamu mkuu ni nini?
Asante mkuu kwa elimu hii.Mdudu hatari sana kwa kufyonza damu. Anaishi kwenye madimbwi ya maji.
View attachment 503446