Mbase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,054
- 4,601
Waeleze zamani tulikua tunasema afrika ni moja shikamoo mwalimu Nyerere aliondoka na mazuri yote akatuachia majanga tangu mzee kichuguu mpaka mzee wa ndege. Heri sasa tunarudi kule tulikotoka Mungu akipenda tuafika kule mwslimu alikotaka tufike. Mwinyi aliwatia ndani watusi sababu waloshanhilia kifo cha Habyalimana mpaka Nyerere akaingilia kati. Kagame anajua sana kuws Tanzania tulikua na viongozi mamluki wa mafisadiHizi division 5 nazo ni majanga, brother au comrade au ndugu(enzi ya mwalimu-rip) ni neno la kirafiki kidugu linaloonyesha ukaribu sio udugu wa damu kama mapumba yako kichwani yalivyowaza.waafrika wote ni ndugu au kaka au dada au ni wamoja tatizo liko wapi hapo kwa PK kumuita JM brother??bongolala kweli wewe!