Aliyoniambia Mwalimu kuhusu Maalim

Maalim ni zaidi ya rais wa znz! Ni zaidi ya Katibu wa CUF! Na ndiyo maana ccm wanamwogopa kweli kweli.
 
Ahmed Rajab ni mwandishi bora wa habari kuwahi kutokea Tanzania.
Anaandika kwa kiswahili sanifu na mpangilio mzuri.
 
Back
Top Bottom