Aliyesoma CBG combination anaweza kusoma kozi za afya?

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,357
6,422
Kwa mwenye uelewa wa hili jambo, mtu aliyesoma CBG anaweza kusoma health related courses such as CO, MD Nursing etc.
 
Kwa hiyo wale vijana wanaosoma MD pale AJUCO (SAUT Songea) na walisoma CBG unawazungumziaje mkuu

Daah hawa "Santi Josefu" hawa siwazungumzii sana maana naamini unasikia kila siku yanayoendelea kuhusu vyuo vyao hao jamaa.
Nenda ukasome huko kama wao wanaruhusu.
 
MD unasoma vzr mno kwny vyuo vifuatavyo kama sijakosea-imtu, kairuki, st francis, ajuco, st joseph na kampala
 
MD unasoma vzr mno kwny vyuo vifuatavyo kama sijakosea-imtu, kairuki, st francis, ajuco, st joseph na kampala
Wanaruhusiwa kisheria na TCU au ndio kufanya mambo kinyume na taratibu halafu mwishowe mwanafunzi anafukuzwa kwa kutokuwa na vigezo
 
Hakuna CBG anaeweza kuchukua MD chuo chochote kile unless otherwise aanzie diploma (CO) ambayo nayo pia hawezi ichukua kama O'level hakusoma physics.
Hebu ona hapa na utofautishe kati ya mawazo yako binafsi na uhalisia

Hii ni Students' Guide Book 2015/2016.Na hicho chuo ni Archbishop James University College.Kuna CBG wengi tu wako MD3 sasa ninaowajua mimi
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1464498846977.png
    47.1 KB · Views: 693
Hebu ona hapa na utofautishe kati ya mawazo yako binafsi na uhalisia

Hii ni Students' Guide Book 2015/2016.Na hicho chuo ni Archbishop James University College.Kuna CBG wengi tu wako MD3 sasa ninaowajua mimi
Asante kwa taarifa. Lakini hii TCU wanaifahamu au ndiyo magumashi kuachishwa kesho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…