Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Kwa nini sio lowasa au hujui kama nae aliwahi kuwa waziri wa maji kabla hayajamkuta yaliyomkuta mpaka akapoteza diraMagembe uyo
Siku yangu inaisha vibaya leo.
Ni maajabu makubwa sana maji ya mto kunyonywa na libomba likubwa pale Marangu - Moshi na kupelekwa mpaka Kenya kimya kimya. Bomba lenyewe litakuwa na upana wa inch 12 au zaidi.
Wakati maeneo mengi nchini yakikabiliwa na uhaba wa maji nchini, watu wanatuhusu maji yatoke Tanzania mpaka Kenya kwa discharge (ujazo) kubwa sana. Hakuna hata flow meter ya kuyapima hayo maji.
Utaratibu gani umetumika kuruhusu maji ya mto kupelekwa Kenya ile hali maeneo ya jirani kama Mwanga, Himo, Same kuna ukame uliotukuka? Nani ameratibu hii issue?
Maji hayo yametegwa pembezoni mwa mto kule Marangu karibu na KINAPA.Bomba imetegwa chini kabisa ya mto.
Usiku mwema
Tunaambiwa watu wa Kilimanjaro wamesoma sana,wanajitambua ndio maana halmshauri zote zipo chadema.Ungemuuliza mkurugenzi wa Halmashauri wa chadema ndugu Mrema,angekuwa na jibu mujarabSiku yangu inaisha vibaya leo.
Ni maajabu makubwa sana maji ya mto kunyonywa na libomba likubwa pale Marangu - Moshi na kupelekwa mpaka Kenya kimya kimya. Bomba lenyewe litakuwa na upana wa inch 12 au zaidi.
Wakati maeneo mengi nchini yakikabiliwa na uhaba wa maji nchini, watu wanatuhusu maji yatoke Tanzania mpaka Kenya kwa discharge (ujazo) kubwa sana. Hakuna hata flow meter ya kuyapima hayo maji.
Utaratibu gani umetumika kuruhusu maji ya mto kupelekwa Kenya ile hali maeneo ya jirani kama Mwanga, Himo, Same kuna ukame uliotukuka? Nani ameratibu hii issue?
Maji hayo yametegwa pembezoni mwa mto kule Marangu karibu na KINAPA.Bomba imetegwa chini kabisa ya mto.
Usiku mwema
Ninhekuona unabusara sana kama ungechangia hoja kwa hoja zinazoendana na sio huo upuuzi uliochangia hapo. Maji ni resource ya Tanzania na siyo chadema wala ccm wala kabila flani au rangi flani. Nadhani ifike wakati tujitambue na tutambue kuwa sasa ni Muda wa kufanya kazi kwajuhudi kubwa kumuunga mkono Mh. Magufuli katika kuirudisha tena Tanzania katika taswira za kimataifa. Nakupenda Tanzania.Tunaambiwa watu wa Kilimanjaro wamesoma sana,wanajitambua ndio maana halmshauri zote zipo chadema.Ungemuuliza mkurugenzi wa Halmashauri wa chadema ndugu Mrema,angekuwa na jibu mujarab
Hii ni hujuma kwa Watanzania.Yaani maji yamekombwa memngi yamepelekwa kuanzia Rombo mpaka Kenya. Kipindi hiki cha Mradi wa Kenya in Kipindi cha serikali ya Mkapa na Mawaziri wa Maji kipindi chake watakuwa wanajua. Vijiji majirani vinapata shida kubwa za maji ila wenzetu waliojenga mradi kwenda Kenya hawakuweka hata oulets kwa adjacent villages kupata huduma hiyo. Mamlaka ya Maji Moshi Vijijini na ongozi wa Bonde la Mto Pangani linahusika kwa asilimia kubwa kwenye hii mambo. Manufaa jamii zilizoko karibu na maeneo ya hifadhi haina faida na uwepo wa hifadhi hizi zaidi ya kuibiwa rasilimali na kuteswa. Kuanzania ajira mpaka maji na sasa msituni akikamatwa mtu ni bora ukamatwe na FFU maana kipigo mpaka ubakaji ni sehemu ya adhabu. Hata wafuga nyuki wa zamani hawaendi tena huko, Sasa Mradi huo wa maji bomba zimesiribwa kwa concretes ili isihujumiwe na wenyeji huku mito ikikaushwa. Swali langa ni kwamba, Anayelipwa mapato ya Maji hayo ni nani?? mbona hamna usaidizi miradi ya maji kwa vijiji vilivyo jirani?? Mleta maada nilishuhudia hili na nimeona niliongelee kwa uchungu maana hata mimi maji sipati nyumbani.. tumejiunganishia kutoka vichemchem vichafu maana hatuna anayetuelewa kwenye suala la maji.
Mlinzi na mtunzaji mkuu wa maliasili zetu ni halmashauri,ndio maana migodi inalipa mirahaba kwa halmashauri husika.Huwezi kugusa chanzo cha maji au maji yeneyewe bila ya diwani na kamati yake ya maji kuwa na taarifa.Ninhekuona unabusara sana kama ungechangia hoja kwa hoja zinazoendana na sio huo upuuzi uliochangia hapo. Maji ni resource ya Tanzania na siyo chadema wala ccm wala kabila flani au rangi flani. Nadhani ifike wakati tujitambue na tutambue kuwa sasa ni Muda wa kufanya kazi kwajuhudi kubwa kumuunga mkono Mh. Magufuli katika kuirudisha tena Tanzania katika taswira za kimataifa. Nakupenda Tanzania.
Mbolea ya Minjingu Kenya, Pemba Kenya.. haaahahahahKwani Wa Kenya wana nini?, mbona Kenya Kenya, Kilimanjaro Kenya, tanzanite Kenya, au kuna viongozi wana asili ya Kenya, wamekuwa mamruki!?.