Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,863
- 3,895
HahahahahaHivi yule alikatiwa mikarafuu yake kule pemba na kutoa muda wahusika kujisalimisha kabla kusomewa albadili amefikia wapi au anasubiri mwezi mtukufu uishe. Au ndy mikwara maana mrema alisomewa albadili za kutosha lkn hatukuona kitu.
Noumaaaaaa sana.