Aliye soma nursing ya mwaka moja anaweza kusoma certificate ya nursing ya miaka 2

Jan 4, 2017
16
4
Wadau habari na mdogo wangu kasoma nursing ya mwaka moja anaweza soma certificate ya nursing mwaka moja matokeo yakidato cha nne physics D biologyD chemistry C mengine F anaweza akaomba nacte akapata akitumia cheti chake cha nursing mwaka moja na matokeo take ya kidato cha nne
 
Mbna vigezo unavyo vizuri nacte wanataka D,D,D tu ili usome mpaka NTA L 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…