GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Huyo / Huyu ndiyo Jean GENTAMYCINE Baleke ambaye kwa Taarifa yenu tu alipokuwa Kwao Congo DR alimzidi Mtikisa Matiti na Mjipiga Makofi Mkononi kama Mwendawazimu kwa Ufungaji wa Magoli.
Hapa kaja tu Nusu Msimu tayari anatupia kiasi hiki je, vipi kama nae angeanza mwanzoni wakati Msimu wa Ligi Kuu ya NBC inaanza?
Huyu kwa hii Kasi yake si huenda hata sasa hivi angekuwa na Magoli 20 au 25?
Mlivyo Wanafiki, Wachawi na wenye Roho Mbaya a.k.a Chuki alipokuja mlitucheka na kusema tumesajili Garasa ( Kapi ) tu kutoka TP Mazembe FC cha Kushangaza sasa ameanza Kuuwasha Moto kwa Kutupia ( Kufunga ) Magoli mmebadilika na sasa hamzungumzii tena kuwa Kwake Kapi ( Garasa ) Klabuni Kwake na mnaanza kusema kuwa yuko Simba SC kwa Mkopo tu na kwamba Tajiri wa TP Mazembe FC Moise Katumbi Chapwe hatomuuza na atarejea huko utadhani mlikuwepo katika Makubaliano yake baina ya Simba SC na TP Mazembe FC.
Ya Simba SC hayawahusu na Simba SC kwa Jeuri na Jicho letu la Kuchagua Wachezaji tuna Jeuri hata ya Kumuacha arejee TP Mazembe FC alikotoka au tukawaachia ili hata nyie Mumsajili na bado Simba SC tukasajili Vyuma vingine Vikali kuliko Yeye na msiamini Macho na Masikio yenu.
Mnaacha Kuhangaika na Aziza K Wenu ambaye sasa hana Tija tena Klabuni, hapati Namba kiuhakika, Majeraha yake hayaponi kutokana na Mijimama anayokuwadiwa Kutwa na Rafiki yangu Mtoto wa Mjini ( MB ) HUKU taratibu Mashabiki wa Klabu yake nao wakianza Kumchoka na kuona Mzize na Baka ( Wazawa ) ni zaidi yake.
Kudadadeki. Hovyoooooo...!!!!!!