Kwa muono wangu, Dk Ali Mohammed Shein hakustahiki kuwekwa katika safu ya nyuma iliyopangwa kuwekwa mabalozi wa nchi za nje, wakati alipokwenda Comoro kuhudhuria kuapishwa kwa Rais mpya wa visiwa hivyo.
Dk Shein hata kama asingelikuwa Rais wa Zanzibar, hadhi yake ya kumwakilisha Rais, Dk John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatosha kabisa kumuweka, kiitifaki, katika safu ya mbele.
Kama siko sahihi, nani basi wa kulaumiwa? Ni Mkuu wa itifaki ya msafara wa Dk Shein na mshauri wake wa mambo ya Nje na Diplomasia, Balozi Mohammed Ramia au wenyeji?
Nielwesheni lakini si kwa jazba!
hata mimi aiseeMkuu Baraghash, niliposoma heading nikajua umekuja na hoja conclusive kutueleza uhalali wa kilichotokea kule. Ungebadili na kichwa cha habari kiendane na habari yenyewe basi. Vinginevyo majibu ya hoja yako yamo kwenye michango ya wadau humu humu kwenye uzi uliopita. Rudi ukayasome tu positively.
Mkuu Baraghash, niliposoma heading nikajua umekuja na hoja conclusive kutueleza uhalali wa kilichotokea kule. Ungebadili na kichwa cha habari kiendane na habari yenyewe basi. Vinginevyo majibu ya hoja yako yamo kwenye michango ya wadau humu humu kwenye uzi uliopita. Rudi ukayasome tu positively.
NILIYAONA HAYO NA KUYAKIMBIAMkuu Baraghash, niliposoma heading nikajua umekuja na hoja conclusive kutueleza uhalali wa kilichotokea kule. Ungebadili na kichwa cha habari kiendane na habari yenyewe basi. Vinginevyo majibu ya hoja yako yamo kwenye michango ya wadau humu humu kwenye uzi uliopita. Rudi ukayasome tu positively.
Pengine Comoro walikua na mgomo baridi wa kutomtambua Shein
Kwa muono wangu, Dk Ali Mohammed Shein hakustahiki kuwekwa katika safu ya nyuma iliyopangwa kuwekwa mabalozi wa nchi za nje, wakati alipokwenda Comoro kuhudhuria kuapishwa kwa Rais mpya wa visiwa hivyo.
Dk Shein hata kama asingelikuwa Rais wa Zanzibar, hadhi yake ya kumwakilisha Rais, Dk John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatosha kabisa kumuweka, kiitifaki, katika safu ya mbele.
Kama siko sahihi, nani basi wa kulaumiwa? Ni Mkuu wa itifaki ya msafara wa Dk Shein na mshauri wake wa mambo ya Nje na Diplomasia, Balozi Mohammed Ramia au wenyeji?
Nielwesheni lakini si kwa jazba!
Comoro iko mbali sana na Zanzibar, au una maana ya Mafia?
Kwani wakati wa kumwapisha huyo mwenyewe rais shein huyo rais wa comoro alikaa upande upi?inawezekana wanalipa walicho pewa
Kwa muono wangu, Dk Ali Mohammed Shein hakustahiki kuwekwa katika safu ya nyuma iliyopangwa kuwekwa mabalozi wa nchi za nje, wakati alipokwenda Comoro kuhudhuria kuapishwa kwa Rais mpya wa visiwa hivyo.
Dk Shein hata kama asingelikuwa Rais wa Zanzibar, hadhi yake ya kumwakilisha Rais, Dk John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatosha kabisa kumuweka, kiitifaki, katika safu ya mbele.
Kama siko sahihi, nani basi wa kulaumiwa? Ni Mkuu wa itifaki ya msafara wa Dk Shein na mshauri wake wa mambo ya Nje na Diplomasia, Balozi Mohammed Ramia au wenyeji?
Nielwesheni lakini si kwa jazba!
Mkuu utoke haraka sana uende wapi wakati mwaliko umeukubali mwenyewe?Kwa kweli wamemuabisha sana, ningekuwa mimi ningeondoka haraka sana
Kama ndio hivyo huko kaenda kama nani?Tulishaambiwa kuwa Zanzibar sio nchi.......itakapokuwa nchi basi atakaa hapo hightable