Ranks
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 2,583
- 1,097
Mmmh!!!Tegeta kuna waharibifu sana tayari watakua washakoroga tope kwa muonekano huu.Hii ipo Tegeta ina baa mkuu, namba yake ninayo nauza kwa 50,000. Njoo PM tufanye biashara.
Hata hiyo ya kwanza naijua, ila namba sitoi maana tunaheshimiana.
Kama utaafiki tufanye biashara ya hiyo nyingine unayoing'ang'ania.,Kwanza itakua vyema sababu itakua ni kipya kinyemi.Yenyewe iko wapi hiyo?