sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 2,925
- 8,414
Wote tunajua Dulla planet bongo ni kijana aliyekuta planet bongo kama kipindi pendwa ikadondoka na kupotea kabisa.
Sasa ndugu Ali kiba kapewa na mnene mmoja asimamie redio na kuipromoti ambayo inazinduliwa kabla ya pasaka.
Yeye kiba akaenda kuokota dulla pale east africa radio na kumpa kitengo cha creative ambacho ni roho ya radio yoyote
Hii wataalam wa mambo wanasema kufeli kabla ya kuanza sababu huyu mshikaji hana history ya kufanikisha lolote kwenye media industry.
Lakin sishangai sababu kiba alifeli pia biashara ya vinywaji kabla haijaanza so na upepo wa kufeli kabla ya kuanza.