umeelewa alimtukana tusi gani?Sasa ndio nimeelewa, kumbe alimtukana mkuu wa nchi na kama ni kweli basi huo ni utovu wa nidhamu uliopitiliza!
Kasahau figisu alizofanyiwa kwenye bunge maalumu la katiba vile vile, huyu alilalamika mbele ya camera kuwa wanalazimishwa kusema wasichokiamini kwa lengo la kukilinda chama chao, hapa ishu ilikuwa ni muungano, leo kasahau yote anabwatuka tu.Kumjadili mbunge huyo Ally kessy ambaye ni darasa la Saba B .hajielewi hata kanuni za bunge kuzisoma zinampa shida ni wale wale wanafiki n wachumia tumbo ambao kila siku yeye ni hewala bwana.Amesahau yeye firigisu alizofanyiwa na hao hao ccm wakati akiwa NCCR .
Kwahiyo ikulu imehusika na utekaji ili kumpa adabu siyo?Sasa ndio nimeelewa, kumbe alimtukana mkuu wa nchi na kama ni kweli basi huo ni utovu wa nidhamu uliopitiliza!
Ali Kesi alitema cheche bungeni kuhusu Roma mkatoliki kumtukana Rais na kisha kuachiliwa
Ndiyo kati ya wale wanafiki aliojisemea Bashe.SIku atakapofanyiwa yeye atanyooka
Hujui kitu na unacoment hii ni kwa watu wachache sana hutokea, Roma kamtukana rais wapi, na ipi kesi yake tueleze mkuunashangaa sana kuona huyu kijana yupo mitaani anadunda..ndo maana aliamua kujiteka ili kukwepa mkono wa sheria.. hivi kila MTU akiamua jumkosoa raisi kupitia kazi yake nchi itakwenda kweli? Roma ana kesi ya kujibu
mkuu, mtoto wako mdogo wa mwaka mmoja unapomkataza kwa nguvu zote kufanya kitu fulani, yeye ndiyo huzididisha!Wasanii wanmchezea sana Magufuli!
HypocritesAli Kesi alitema cheche bungeni kuhusu Roma mkatoliki kumtukana Rais na kisha kuachiliwa
Kweli kabisa huyo Roma Mbuzi Katoliki anatakiwa akanyee debe na ushabaro wake Wa kichokAli Kesi alitema cheche bungeni kuhusu Roma mkatoliki kumtukana Rais na kisha kuachiliwa
Katoto kangu kalianza kuvuta makaratasi nikajiunga nako kakaona mchezo kakaanza kuvuta sigara nikavuta kakaona mchezo kakahamia kwenye bangi nikakafuata sasa kamehamia kwenye unga bado tuko sambamba mpaka kaboreke kataacha kenyewe tumkuu, mtoto wako mdogo wa mwaka mmoja unapomkataza kwa nguvu zote kufanya kitu fulani, yeye ndiyo huzididisha!
solution ni kukigeuza kile anachong'ang'ania kufanya kama kamchezo fulani hivi kati yenu wawili, katoto katafurahi. itafika mahala katoto kako kataboreka katatafuta mchezo mwengine. huo ndiyo ulezi sahihi wa mtoto!
Hiyo nyimbo iko wapi?
sana mkuuu Joka IKULU, Ikulu ipi hata makagari yangu yako ikuluShida watanzania hatupendi kuusikia ukweli,na ukweli unaposemwa basi hutoka kwa kiburi kwamba katukanwa,sijona mahali Roma alipomtukana Rais,hata kama wanasema alimtukana bado sheria ya mtandao ipo angeshtakiwa kwa hilo lakini siyo kutekwa,kuteswa na kunyanyaswa.
Nadhani na mwisho wa Sadam Husein uliouna mkuu,busara kwa pande zote mbili ndo muhimu.Mimi nimewahi kusema kuwa, wakati umefika sasa Rais wetu aende mbali zaidi hasa kwa watu wanaoleta mzaha mzaha.
Rais atumie mbinu alizotumia SADDAM HUSSEIN kuwaadhibu waliokuwa wanaleta mizaha kama hii.
Hawa wapuuzi wakiendelea kuachwa tu wafanye watakacho kwa kisingizio cha DEMOKRASIA au UHURU wa kutoa maoni, tusishangae siku moja wanakwenda kumwimba Rais hadi IKULU.
Shida watanzania hatupendi kuusikia ukweli,na ukweli unaposemwa basi hutoka kwa kiburi kwamba katukanwa,sijona mahali Roma alipomtukana Rais,hata kama wanasema alimtukana bado sheria ya mtandao ipo angeshtakiwa kwa hilo lakini siyo kutekwa,kuteswa na kunyanyaswa.
Kessy kututhibitishia kwamba Roma alitekwa na serikali. Hukumsikia aliposema kwamba hakuna nchi itavumilia rais kutukanwa? Binafsi sijausikia huo wimbo wa Roma kumtusi Magufuli.Kwa kumtukana Rais, Kama kweli angetekwa na serikali asingerudi,. Sasa Mara kajiteka Mara katekwa na serikali, mbona mnakuwa bendera kufuata upepo?