Saint Ivuga JF-Expert Member Aug 21, 2008 54,663 59,000 Feb 10, 2017 #1 Sheikh Mkuu wa Dar es salaam amemshauri Rais amuongezee ulinzi Bwana Makonda kwa sababu vita aliyoianzisha ina watu hatari sana. Source: Magic Fm
Sheikh Mkuu wa Dar es salaam amemshauri Rais amuongezee ulinzi Bwana Makonda kwa sababu vita aliyoianzisha ina watu hatari sana. Source: Magic Fm
2hery JF-Expert Member May 27, 2011 4,700 4,623 Feb 10, 2017 #2 Maombi hayatoshi? huyu ni kiongozi wa kiroho..mbona anatuchanganya?
ndege JOHN JF-Expert Member Aug 5, 2015 21,320 50,538 Feb 10, 2017 #5 Vita hii akishinda makonda tumeshinda wote
1000 digits JF-Expert Member Oct 16, 2012 6,869 9,057 Feb 10, 2017 #6 Ni vizuri ulinzi wa mh. Makonda ukaongezeka mara dufu.
kuduman201036 JF-Expert Member Aug 26, 2015 4,058 2,172 Feb 10, 2017 #7 >>kumbe WATU hawa Wanajua VITA HII ni NGUMU >>
jogi JF-Expert Member Sep 25, 2010 25,556 25,334 Feb 10, 2017 #8 Saint Ivuga said: Sheikh Mkuu wa Dar es salaam amemshauri Rais amuongezee ulinzi Bwana Makonda kwa sababu vita aliyoianzisha ina watu hatari sana. Source: Magic Fm Click to expand... Ana maana maisha yake atakuwa anasindikizwa na polisi chooni? He will pay the consequences. Amuombe mungu wake jipu sniffer amuepushie kikombe anachtakiwa kukinywea.
Saint Ivuga said: Sheikh Mkuu wa Dar es salaam amemshauri Rais amuongezee ulinzi Bwana Makonda kwa sababu vita aliyoianzisha ina watu hatari sana. Source: Magic Fm Click to expand... Ana maana maisha yake atakuwa anasindikizwa na polisi chooni? He will pay the consequences. Amuombe mungu wake jipu sniffer amuepushie kikombe anachtakiwa kukinywea.