MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,237
- 50,402
wanawauwa binadamu sio magaidi wamarekani walichowafanyia watu weusi na wanavyoendelea kuwa fanyia ni zaidi ya ugaidi .sio mambo yakushangilia sana haya acheni itikadi za dini zenu za kimapokeo wanokufa huko ni binadamu na tena ni wafrika wenzetu.
Kwani gaidi sio binadamu, tena hukaa kama mtu mwenye hesima sana, anavaa kanzu na kuhudhuria ibada zote, japo ni zombie.