johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 93,961
- 164,208
Naangalia hapa Al Jazeera news naona wanatumia Muda mwingi kuelezea habari za maandamano ya Chadema yaliyofeli
Kilichonikera ni kutumia picha za kampeni za Tundu Lisu za mwaka 2020 kana kwamba ndio maandamano ya Jana
Hii Haikubaliki
Inaudhi sana🐼
Kilichonikera ni kutumia picha za kampeni za Tundu Lisu za mwaka 2020 kana kwamba ndio maandamano ya Jana
Hii Haikubaliki
Inaudhi sana🐼