Akasomee nini kizuri kwa ngazi ya cheti?

Akasomee Accountancy (uhasibu) CBE,IFM etc Itamsaidia. Accountancy ina ajira nyingi kuliko zingine. Option ya pili lakini kama atafanya akarudia mitihani. Nursing ni deal ajira nje nje. Asewaze ualimu labda ualimu wa sayansi japo safari yake itakuwa ndefu kidogo. Accountancy ni shortcut baada ya miezi 6 anapata cheti chake na baadae diploma nk.
Nimeuelewa sana ushaur wako thank you broo
 
Je huyu anaweza kupokelewa unesing CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'D' ENGL - 'D' PHY - 'F' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F'
 
TAKENI MAKUU CJUI MAKOZ YA AFYA,CJUI IFM,CBE WKT VETA IPO MUTAKUFA NJAA UMSIIGE MTOTO WA FULAN ANASOMA UDOM,CBE,UTAUMIA
 
Wadau dogo langu yeye kapata

Biology C, English C, Chemistry D, Geography D, Hesabu na Physics kapata F na hizo zingine zilizobaki kapata D ,,
Ushauri wadau anaweza somea nn...????
Aende kozi za kilimo then apige jembe kielimu
 
Certificate in Law, Local gment, Procurement and Logistic, Library service, records management, Finance, HRM etc Ada 700,000/= kwa mwaka Chuo TEKU Tabora nk
 
Certificate in Law, Local gment, Procurement and Logistic, Library service, records management, Finance, HRM etc Ada 700,000/= kwa mwaka Chuo TEKU Tabora nk
library management ipo vzr sana kwa ajira kwani kila siku naona matangazo yao ya ajira aisee
 
Habar wana jf kuna dogo kanitumia tokeo lake ana D nne za civcs,geography,engl,bios na C ya kiswas anataka nimshaur course ya kwenda kusomea kwa ngaz ya chet

Wadau dogo langu yeye kapata

Biology C, English C, Chemistry D, Geography D, Hesabu na Physics kapata F na hizo zingine zilizobaki kapata D ,,
Ushauri wadau anaweza somea nn...????

Mnasingizia wadogo zenu wakati ni nyie wenyewe...anyway zingatieni ushauri wa wadau
 
Back
Top Bottom