Naitwa HASSANI HAJI
Nmehitimu diploma ya maendeleo ya jamii jinsia na watoto natafuta kazi na ninauzoefu na maswala ya picture & video editing pia maswala ya computer software kwa yeyote anayeweza nisaidia kupata kazi pliiiz naomba anisaidie kwa hili