Ajenda ya sasa ya upinzani ni nini?

Mi nadhani in kumkosoa Magufuli tu.Hakuna jipya.
Siku zote vyama vya upinzani ni kukosoa, na kuyajengea hoja yale yote yanayofanywa na serikali iliopo madarakani. Hukosoa na kutoa ushauri kwa manufaa ya umma. Yaliyofanywa vizuri hupongezwa serikali kwa nguvu zote. Rais wetu kupingwa ni lazima, ni lazima apingwe kwa lolote atakalolifanya endapo litakuwa na uelekeo usio chanya kwa jamii anayoiongoza. Sasa utuambie ni lipi alilopingwa Rais. Na kama kapingwa ni lazima alichokifanya kina ukakasi. Sasa ifike hatua mtu umpinge Rais kwa hoja yenye mashiko.
 
Wewe unafanya nini humu.Je,na wewe unalipwa?
Mimi sio kada kama wewe siwez tumikia lumumba wanafiki .. unapewa buku saba unauza utu wako.. Naona unajituma kweli waulize wenzako akina lizaboni na simiyu yetu washajichokea. Kwa sasa washakuona tulia mgao wako wa siku utaupata
 
Nitasema kweli daima.Propaganda hizo za kuchafua Watu bila sababu muache.Kampeni yenu inalenga nini.Maana mkielezwa ukweli hamtaki.
 
Back
Top Bottom