Kuna ajali imetokea maeneo ya mtoni Kichangani mida ya saa tano na dakika 20 usiku huu ikihusisha pikipiki 2 aina ya boxer. Madereva wote wawili wanasadikiwa kufariki dunia na tayari. Wamekimbizwa Temeke hospital.
Chanzo cha ajali inasemekana ni mwendo kasi wa pikipiki hizo na madereva kutovaa helmet.
Hii kitu ya kushukuru Mungu muhimu sana kila unapoamka asubuhi unaenda kufanya yako na kufika salama na kisha kurudi nyumbani salama unashukuru Mungu sana.