AJALI: Mbunge Paulina anusurika kifo, alazwa ICU na ziara yaahirishwa

Naona upepo wa ajali unaongezeka kwa wabunge wa chadema sielewi tatizo ni nini na hasa hawa wa kike juzi Ester Matiko kidogo ajali imtoe roho hatujakaa sawa nyingine tena ya Gekul , chondechonde jamani na haya magari endesheni taratibu bado tunawahitaji tena Sana
 
Badala ya kuelezea ajali habari inakuwa ya siasa ya ziara.
 
pole Paulina Gekul CHADEMA mmeshaanza kulogana .

Mkuu;
Bado upo kwenye enzi za ujima?? Chadema wamloge mbunge wao tena si useme ccm mnakitamani hicho kiti ndo mmemloga?? Upumbaaavu mwingine hata mjinga tu ataukataa. Badala ya kuona kuwa kufanyike mpango wa kumsafirisha kwenda Haydom unasema ati kalogwa! inasikitisha saana
 
e mungu umponye haraka mh gekulu. bado sisi wa babati mjini tunamuhitaji sana . paulina ndo jicho la wanyonge. uwakinge wabunge wetu mahiri na watetezi na ajali mbaya kama hizi.ameni
 
Kumbe na CHADEMA huwa wanapata ajali nilijua wao wana kinga ya ajali?

Haya mpongezeni Mungu tena kama mnavyofanyaga pale wengine wanapopata.
 
Back
Top Bottom