Hashpower7113
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,353
- 2,137
Another good has gone wrong! Inna Lillah wainna illaih Rajiun na pole kwa victims
mkuu kuna haja ya sisi watumiaji wakubwa jf tukanzisha kampeni itakayo saidia kupunguza ajali ambazo kwa kiasi kikubwa zinaonekana zinazoeleka
tupo kwenye maandalizi ya kusafirisha kwenda dodoma kwa mazishiMkuu bado hujaenda kwenye msiba wa uncle?
ziresend maana hazifungukiBaadhi ya wahanga wa ajali
Mungu azilaze mahali pema peponi roho za marehemu wote. AminaNimepata taarifa kuwa kuna ajali kubwa imetokea ikihusisha daladala aina ya DCM na Lori la kubebea Ng'ombe, inakadiriwa kuna vifo na majeruhi wengi.
Nimeshindwa kufika eneo la tukio kutokana njia kufungwa na foleni kuwa kubwa.
Barabara ya kutoka Buguruni na kwenda Buguruni zote zinefungwa.
Mliopo eneo la tukio mtupe habari kamili.
===========
Picha Eneo la Tukio
View attachment 328345
View attachment 328346
View attachment 328347
Kwani wote tuliopo humu ni wafanyakazi wa serikali??Mnajadili hili vipi? Hamjasikia yupo waziri amesema jana wafanyakazi serikalini hawaruhusiwi kutazama mitandao ya kijamii?
vichaa wapo kwenye magari yote tu.!mumie nilishuhudia iyo ajali nilikuwa mita chache kutoka eneo la tukio nikielekea buguruni.
kilichotokea gari la mchanga liligonga ilo gari la abiria likapaa kama ndege kugonga gari la ng'ombe so dereva wa ng'ombe akapoteza mwelekeo na kuanguka.
unachokisema nakubaliana na wewe kabisa manake hili DCM lingekuwa vizuri lisingefumuka namna hii. ujue adi mabegi ya wasafiri yamefunguka ndipo nilipochoka kabisa ajali haina adabu.
nafkiri madereva wa malori ya mchanga jaman wachunguzwe akili wanaendeshaga kwa mwendo mkali sana afu eti baada ya tukio kakimbia kaingia kwenye daraja, kujificha.
kaka uwe nawaombea watu rehema wakiwa hai vinginevyo unapoteza muda kwani baada ya kifo hukumu .Duuu siku nyingine mbaya watu wameamka salama na kwenda mishemishe lakini hawakufanikiwa kufika na hawatarudi majumbani mwao tena...Mungu awarehemu marehemu wote na awasaidie majeruhi
Wamesema Gomz to ubungo .RIP Jamani DCM lilikuwa linatokea wap