AJALI: Basi la Super Shem laanguka Ruaha, Iringa na kuua wanne

Hili bus linapitia dodoma via mtera kwenda iringa, hivi huko napo kuna ruaha sabab mi nafaham bus likitokea moro via mikumi ndio linapita ruaha kuingia iringa...mwenye kuelewa zaid anisaidie
Acha kukariri Mto Ruaha unaanzia mikoa ya Mbeya, Njombe na Iringa unapoungana kutoka mikoa yote ndo huitwa Ruaha mkuu
 
hili basi nililipanda juzi kutokea iringa ni bovu sana askari barabarani sijui wanafanya kazi gani na linaenda mbali mwanza
Walaumu Sumatra kwa kulipa cheti cha kufanya safari za kuchukua abiria tena kwa safari ya mbali
 
dah! tumepoteza fundi magari wa Halmashauri ya wilaya ya Songea mpendwa wetu Venant Mhagama maarufu kwa jina la Fundi Juma. mungu amrehemu.
 
kuna mbeya Express ya Arusha aisee gari ni mbovu ile sijapata ona lakini Sumatra wapo tuu..Trafiki barabarani hawalioni mpaka lilete maafa ndio utasikia..
 
jana kulikua na roho ya ajali,nimetoka Arusha nimepishana na ajali 3
1.Buffalo ilijiblock ikaingia porin
2.Passo ilipasuka tair ikaingia porini kulikua kuna mtu na mke wake,mke ndio aliumia
3.Machame xpress ilipasuka tair na kupinduka.
Namshukuru Mungu mimi nilifika salama
 
Back
Top Bottom