Brake zimefeli semina kwa madereva itaokoa niniPoleni sana wote waliofikwa na shida hii kubwa. Mungu awaondolee maumivu.
Nashauri madereva wa safari ndefu watengenezewe semina za lazima ziwe za mara kwa mara na jeshi la polis
Wapewe mafundisho ya tahathali barabarani. Jinsi na kuepukana na ajali.
Labda ule mteremko wa kutokea town kushusha Ipogolo! Pale si kuna mto Kushoto Kama unashusha ile down?Hili bus linapitia dodoma via mtera kwenda iringa, hivi huko napo kuna ruaha sabab mi nafaham bus likitokea moro via mikumi ndio linapita ruaha kuingia iringa...mwenye kuelewa zaid anisaidie
Kuna basi la Super Shem limeanguka mlima wa Ruaha Iringa. Inasemekana hali za abiria ni mbaya.
Basi hilo lilikuwa likitokea Mwanza kwenda mbeya.
Waliofariki ni wanne. Wanaume wawili na wanawake wawili.
Majeruhi ni 38, wako hospitali ya mkoa, Iringa. Basi hili lilikuwa la kuishia Iringa ila kuna abiria waliokuwa wakipelekwa Ipogolo kufaulishwa kwenye gari la Mbeya na wakati linashusha ule mlima ndio likafeli breki na kugonga kingo za barabara na kuanguka.
Majeruhi wengi wamevunjika viungo.
PICHA:
Ule mto unaitwa Ruaha ndogo ni mojawapo ya vianzo vya mto Ruaha kuu unayozungumziaLabda ule mteremko wa kutokea town kushusha Ipogolo! Pale si kuna mto Kushoto Kama unashusha ile down?
mkuu kama pc si zenyewe je ajari ni kwel imetokea? mshukru sana Mungu kwa kukuokoa,
-Hizo picha ni za ajali ya kampuni ya basi la super Shem,Mwanza-Iringa tarehe 25/12/2015
-Nilikuwemo ndani ya basi hilo,ajali ilitokea mbele ya Shelui Singida baada ya kugongana na Lori la mizigo na Lori kuanguka hapo hapo.
-Hakuna kifo kilichotokea siku hiyo....
-Magari mengi ya hiyo kampuni ni mabovu ....!!!