Wakuu,
Nasikia kuna basi limepata ajali.
Mwenye taarifa atujuze.
=========
Braking News Radio One saa nne na dk 20 usiku.Bus linaitwa Leina tours likitokea Kahama limeacha barabara na kuingia mferejini hapo Kimara Bucha.
Kuhusu majeruhi na vifo bado habari kamili hazijapatikana.