Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 7,798
- 12,851
Pole upewe wewe unayekuja kujaza upuuzi Jf wakati watu wana majonzi.
Naona kisu kimegusa mfupa.
Vipi na wewe ulibaniwa na Gambo kuongea juzi?
Pole sana.
Wenye majonzi wanalilia kuongea misibani?
Nendeni mkajifarague huu Gambo hatokuwepo.