Airtel mnakera mmenipa MB nyingi lakini spidi ya kobe

Aitel wanakera sana ,,,,,mtandao mbovu kisengee ,,,,yani nimejiunga na line ya chuo nimepata ma mb mengi lakini spidi ya kisenge

Anayejua setting ya kuongeza speed anielekeze
:D:D:D Kumbe tuko wengii? Sio tu hiyo line ya chuo. Hata hizi nyingine speed ni ya Kono kono... Kwa takrabini miezi miwili sasa speed ya airtel imekuwa slow sana. Sijui infrastructure zao zimezeeka au wameipunguza makusudi!
 
Yaani airtel for some months now they are daily worsening in their internet speed
 
Back
Top Bottom