Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
kvp mkuu yeye ni basha?Kigwagala ni basha hana lolote
kvp mkuu yeye ni basha?Kigwagala ni basha hana lolote
pyeeee hapa hapapole sana.kama unataka haki hiyo nenda kwenye nchi zinazokubaliana na ushoga
Kuangalia haki yake ndo kumtetea kwenyewe. Kuna vitabia ukiona vinakunyemelea inabidi ujifunze kujikaza sio unajiachia achia tu. Hata wengne wanasema hawawezi kuacha wizi lkn mwizi akithibitika anapelekwa jela, basi nao wezi tuheshimu haki zao kwa sababu wanajisikia kuiba na sio kufanya kazi. That is foolishHakuna anaewatetea mashoga hapa, ila tuangalia haki yake kama binadamu.