Afisa mitihani Chuo cha Diplomasia azuia wanafunzi kufanya mitihani

Kwani mkuu wewe hukujua jukumu lako la kulipa ada ni lini hadi dogo azuiliwe kutofanya mtihani. Jamani chuo au ada sio dharura kusema kwamba ulikuwa hauna taarifa. Hebu tuwajibike tuache kulalamika. Yaani waswahili hatuna kawaida ya kuwa responsible kwa wakati na ndio maana nyumba nyingine unakuta hadi mahitaji ya kila siku mfano chumvi, sukari, unga au luku vinakwisha kabisa ndio wanaanza kukimbizana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…