Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,166
Hiyo kitu inamfanya mtu ahame mtaa jumla, ila sio njia nzuri nayo.Huyi ofisa elimu hasira zilimzid ila cha kufanya ilikuwa atafute njemba nne zilizoshiba azilipe hela zimfumue vicent marinda hapo kusingekuwa na kesi maana kila mmoja angebaki kimya