Afande Sele Kusema kweli hili suala la kamanda Lema linamuumiza kila mwanadamu mwenye roho ya nyama

Afande sele anatakiwa kujua walio jele si lema pekee wapo wengi sana na sioni umuhimu wa kulazimisha kila mtu amuonee huruma mtu anaye fanya mambo kwa makusudi tuuu.....
 
Kweli hilo ni dudu liumalo. Halifai kunyooshewa kidole. Inatakiwa lipopolewe kwa mawe, litwangwe rungu ali lichapwe mijeledi kwa mbali.
kwani mkiliacha mkafanya yenu kuna ubaya?mind your biznesses',and aint nobody gonna stalk you behind and about!
 
Jina jipya...na bado mashabiki wanashangilia jina hilo jipya..ushauri ni kwamba kama dudu linauma usilinyooshee kidole, lakini haimaanishi uliache likiwa hai maana ukiliacha litakusogelea likuume at zero distance. Litandike mawe na fimbo kwa mbali likafie huko!
linatema mate yenye sumu,na ukumbuke dozi moja ya kuneutralize sumu ni ghali
 
"Dudu liumalo usilinyooshee kidole."... sijui kama watakuelewa hapo.......wacha Lema afunzwe adabu nasheria za nchi.
Hafunzwi adabu na sheria za nchi maana sheria hazifuatwi, anafunzwa ujasiri zaidi kwa ubabe wa utawala unao mfanya awe magereza, hapo ndio ile jino kwa jino inatumika, halafu tunaficha ficha kwa kupiga magoti mbele ya madhabahu, haifuti machafu yako ukiwa na nguo safi moyo mchafu.
 
"Dudu liumalo usilinyooshee kidole."... sijui kama watakuelewa hapo.......wacha Lema afunzwe adabu nasheria za nchi.
Nilijua upeo wako wa kufikiri ulivyokuwa mdogo huwezi kuelewa amemaanisha nini hapo.ujumbe umewafikia Lazima maono ya Lema yatimie nchi iweze kusonga mbele
 
Nielewesheni hapa..!

Kwahiyo anamfundisha uoga Kamanda LEMA?

Badala aliambie hilo "dudu liumalo" lifuate katiba ya Tanzania?
 
Kwa hiyo unakubaliana na "Jamaa yako" kufananishwa na Dudu liumalo??
Hujiulizi kwanini afananishwe na DUDU??
Na kwanini awe anauma??
Kwanini asifananishwe na kitu kizuri??
Kifupi wameshakubaliana na ukweli huo, hawaoni namna ya kupinga.

Dudu liumalo.
 
Katiba gani unayo iyoongelea inayo ruhusu kutishia wakuu wanchi? acha afunzwe adabu kwanza akitoka huko atakuwa amenyooka...
Sele amewashauri kuwa " Dudu liumalo msilinyooshee kidole..."
Jaribu kufikiria Lema angekuwa miongoni mwa familia yako wacha ushabiki wakipuuzi
 
Kifupi wameshakubaliana na ukweli huo, hawaoni namna ya kupinga.

Dudu liumalo.
So ki-JF JF tukianza kutumia huu msamiati wa Dudu Liumalo kama "Kiwakilishi mbadala cha Jamaa" kutakua na makosa?? Ikiwa wana-lumumba kindakindaki wenyewe wanakubaliana na huu msemo??
 
Hiyo ni sheria tuu mmekumbushwa na Afande,,,tatizo mnasoma mnapopapenda tuuu..... mtu anavunja sheria makusudi halafu anategemea public sympath...hahahahah jele si kuzuri..Lema ana jikaza kikamanda na kutoa tabasamu lakini moyoni anajua jinsi alivyo nyooshwa....
Lema kavunja sheria gani?
 
Back
Top Bottom