Afande Sele aachana na Uislamu, sasa anaabudu Jua!

Malaria Yangu Dokta Mimi Naijua Nipeni Japo Panadol
Siyo Kila Homa Ni Malaria!!!!
 
Nakumbuka kuna siku clouds FM walikuwa wanamuhoji jamaa mmoja ambaye alienda south Africa kutafuta maisha baadae alishwashi kujiunga na Freemasonry na kuchumwa muhuri Wa moto ktk panja ambao ulimtea matatzo ya mguu baade.

Nakumbuka jamaa alisema mmongoni mwa wamasonia Wa bongo ambao alikutana nao SA na hapo bongo lodge zao huyu MTU.
Watu wakapinga sana yule jamaa ila inawezeka alichokisema jamaa kilikuwa kina maanisha
 
Wazo la afande sele halitofautiani na MTU MMOJA ALIYESEMA JEHANAMU NI JUA. ..

Ukifikiria kwa makini utakubali due to the fact that JUA ni moto unaowaka milele.

So jehanamu tunaiona kila siku ilichobaki ni kuwekwa humo tu
 
Wanawe wana kazi ... Ukiwa na baba wa hivi inakupasa uwe subira mno..
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Tukumbuke pia anayeabudu miungu wengine anafanya dhambi sawa na anayetamani Mali zisizo zake au kuongea uongo...

Wote wakosefu, ila kibinadamu watu watamuona Afande mkosefu zaidi yao wakati wao kutwa nzima uongo, chuki, uzinifu dhambi zinazoonekana ni ndogo ndogo.., sijui kwa vitabu vipi vya dini...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom