Afande Gerald Johanes wa Kituo cha Polisi Kamsamba-Momba nani anakutuma kuteka, kutesa na kubambikizia watu kesi za madai?

yellowkid

Member
Jul 30, 2017
27
18
Nianze Kwa kuwakumbusha wanagenzi kwamba Jeshi la polisi lipo Kwa mujibu wa kifungu Cha 3, Cha Sheria ya Jeshi la polisi, sura ya 322 ya Sheria ya Tanzania Kwa ajili ya kulinda amani, kushughulikia utii wa Sheria, kuzuia na kung'amua uharifu, kukamata waarifu na kulinda Raia na Mali zao. (mtaniweka sawa kama tafsiri ya lugha ya Sheria haijakaa sawa).

Askari Gerald Johanes wa Kituo cha polisi Kamsamba amekuwa na mwendelezo wa kuteka, kutesa na kubambikiza watu kesi za madai.

Mosi, Vijana wa bodaboda amekuwa akiwateka Kwa kutumia mwamvuli wa yeye kuwa kitengo Cha usalama barabarani. vijana hao uwapeleka maeneo ya poli ilipo shule ya sekondari Uwanda au Karibu na Daraja la Kilyamatundu, linalotenganisha mkoa wa Songwe na Rukwa maarufu kama shamba la Msomari. Hapa uwapiga Kwa kitako Cha bunduki, mateke, fimbo n.k Ikiwa tu watagoma kumpa pesa ya kula ambayo ni TSH 5000 Kwa siku. mara chache uwaamuru ata kufungua baadhi ya spea za pikipiki zao na kuzifunga kwenye pikipiki yake binafsi.

Pia, unyonya mafuta na kujilipa kama malipo yake ya utesaji. Je, nani anamtuma kufanya hivyo? Je, mamlaka za Ulinzi na usalama za Wilaya hazioni uozo huu?

Pili, Afande Gerald Johanes amekuwa akiwateka wadaiwa wa madeni/ riba za mpunga ambapo huwapatia TSH 20000 na kuwataka warejeshe TSH 70000 au Gunia 1 la Mpunga. wanaoshindwa kulipa Kwa wakati huambulia kipigo Cha Mbwa, kiwasweka Rock up, yaani Mahabusu ndogo Kwa Zaidi ya Siku 14 bila kuwapelekwa mahakamani kinyume na Sheria zinavyotaka. Aidha huwalazimisha kuuza mashamba na mifugo ambapo yeye pia ni mbia wa ununuzi ikiwatumia baadhi wa wananchi wasio waaminifu. Nenda ukaulize viunga vya Kasanu, Mkonko, Malangwa, Usoche, Ntembo huyu askari anaogopeka kuliko Idd Amin Dada. Je, nani anampa baraka za kufanya hivyo? Nani anampa baraka za kuwadai Watanzania maskini Gunia 40 badala ya zile 6 alizowakopesha?

Tatu amekuwa akiwalazimisha baadhi wa mabinti marembo kuwa wapenzi wake hata Kama ni wake za watu. Niwakumbushe tu kwamba Yeye ndiye alikuwa anafanya kazi sambamba na Afande CLEOFAS ambaye ni marehemu aliyejimiminia risasi baada ya kumchinja mhudumu wa Afya KITUO cha Afya Kamsamba. Kama Afande Gerald Johanes alishirikiana na mwenzio Cleofasi kutoa uhai wa binti wa watu kisa wivu wa mapenzi, nani yupo nyuma yake? Hivi, anajua maaumivu aliyowapa wanafamilia wa winifrida?
Niwakumbushe tu kwamba mwezi agosti 2021 Afande Gerald alilazimisha kufanya tendo la ngono, yaani kumbaka binti Veronica (jina la pili nahifadhi Kwa ajili ya kutunza staha za binti tajwa) kwenye vichaka vya kuelekea Kijiji Cha Senga karibu na Shamba la Mzee Rikito/Benedikto. Nani anamtuma? Kigogo yupi anampa Mamlaka haya?

Nne, nani anamtuma Afande Gerald Johanes kumfuatilia Leonia Daniel Silinde? Mama huyu ameshindwa kufanya kazi zake za Shamba pale Kijiji Cha Mkonko kwani Afande Gerald amekuwa akimpigia simu na kumtaka wakutane wakiwa wawili muda wa jioni shambani kwake? Je, Gerald ana Nia gani na mama wa watu? Je, anataka kumuua kama walivofanya Kwa Winifrida? Kama mama wa watu ana hatia kwanini Afande Gerald asiende Ofisini au nyumbani Kwa mhusika ambaye amekuwa akimsisitiza kwamba awezi kukutana naye shambani wakiwa wawili labda Afande Gerald Johanes afike nyumbani Tena mbele ya ushahidi. Hivi Afande Gerald Johanes kweli hajui kuwa simu anazompigia mama wa watu kupitia namba yake +255768555173 zinarekodiwa. Hajui Kuna TCRA? Hajui NIDA wapo? Hajui Cyber-police wapo? Hakika Kuna mtu wenye mkono kwenye kaputula la Max Yuko nyuma yake.

Nimkumbushe tu Afande Gerald kuwa huyu Mgambo wa Kijiji Cha Mkonko, Joycer Alkado Mnyambwah anayemtumia kuteka watu Kijijini amekuwa akionekana mara Kwa mara maeneo ya Koeko na Namisinde wakiwa na Afande Gerald. Kimsingi ni maeneo ambako mashamba ya mama huyu yanapatikana. Je, Gerald huwa anatafuta Nini uko?

Tano, nani alimtuma Afande Gerald na mwenzio Hassan ambaye ni kichaa Saizi kumpambikizia kesi ya bangi Mzee Simwiche wa Mkumba-Kijiji Cha Senga? Nani alipata mgao wa zile milioni 8 na vipande walizochoto Kwa Mzee uyu? Afande Gerald Johanes MUNGU wako ni mwema, pengine Leo ungekuwa unaokota makopo kama rafiki Yako Hassani.

Anachokifanya Saizi Afande Gerald Johanes ni mwendelezo wa yale aliyoyatenda pale KITUO cha polisi Galula-Wilayani Songwe. pale wenye asila Kali wakipita nae mpaka akazindukia baridi ya alfajiri. Je, nani anatoa baraka kwake kuendelea kutenda hayo?

Nitoe Rai Kwa viongozi wenye dhamana ya ulinzi na usalama, Mamlaka ya nidhamu zitende haki juu ya ukatili wa Afande Gerald Johanes.

Mtetezi wa wanyonge, Diwani wa kata ya Kamsamba na ndugu yetu Kyalambwene Joshua Kakwale kazi kwako. Sisi tutakupima 2025 Kwa utendaji wako. kama umeweza magumu hili naamini dogo sana. Mwambie Comrade Chikoti-Mwenyekiti wa Halmshauri yetu kwanini Afande Gerald Johanes awatesa wapiga kura wako?

Mkuu wa kituo Cha polisi Kamsamba, ---- Hekima zako sinashaka nazo. utatenda Kwa nafasi Yako.Tunajua mara nyingi umekuwa ukiwakanya Vijana wako juu ya tabia zao hatarishi, lakini walikofikia wanataka kusepa na kibarua chako. Vaa miwani ya chuma Kisha tenda jambo Kwa manufaa yetu na Yako.

OCD Momba Sina shaka na wewe Kwa weredi wako hakika utatenda jambo. Mzee wangu, Gabriel Makungu njoo uongee na Wana wa Kamsamba wakupe neno juu ya udhalumu wa askari wako Gerald Johanes.

mkuu wa wilaya ya Momba, ndugu yangu FACK RAPHAEL LULANDALA huyu jamaa anachafua mambo mengi uliyoyatenda Momba. wewe ndiye Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya. plz shugulika nae. Mkuu naamini unaweza kutenda na matumaini yangu kuwa litafika kikomo.

Mkimushindwa tutachukua: kofia yetu ya Jeshi la Polisi, tutachukua uhai wake Kwa kutumia mizimu ya Babu zetu wa Chimbo, kaputa, Sakalilo, Inunka, Itelefya n.k. Naamini mkazi wa mbutu Block E, Yericko Nyerere na Bingwa Mshana watatusaidia katika ulozi. Lakini kabla hatujafikia huku, busara itumike kwanza.
 
Watanzania tuko kimipasho zaidi.
Mkuu kama mkuu unatoka unaenda kituo cha polisi unamripoti mlengwa unasikilizia matokeo.
Sasa kuandika huku ni kama unataka comments na tutakupa.

Tujitahidi tuwe tunafikisha malalamiko yetu aehemu husika kwakupitia ngaz husika.
 
Nianze Kwa kuwakumbusha wanagenzi kwamba Jeshi la polisi lipo Kwa mujibu wa kifungu Cha 3, Cha Sheria ya Jeshi la polisi, sura ya 322 ya Sheria ya Tanzania Kwa ajili ya kulinda amani, kushughulikia utii wa Sheria, kuzuia na kung'amua uharifu, kukamata waarifu na kulinda Raia na Mali zao. (mtaniweka sawa kama tafsiri ya lugha ya Sheria haijakaa sawa).

Askari Gerald Johanes WA Kituo cha polisi Kamsamba amekuwa na mwendelezo wa kuteka, kutesa na kubambikiza watu kesi za madai.

Mosi, Vijana wa bodaboda amekuwa akiwateka Kwa kutumia mwamvuli wa yeye kuwa kitengo Cha usalama barabarani. vijana hao uwapeleka maeneo ya poli ilipo shule ya sekondari Uwanda au Karibu na Daraja la Kilyamatundu, linalotenganisha mkoa wa Songwe na Rukwa maarufu kama shamba la Msomari. Hapa uwapiga Kwa kitako Cha bunduki, mateke, fimbo n.k Ikiwa tu watagoma kumpa pesa ya kula ambayo ni TSH 5000 Kwa siku. mara chache uwaamuru ata kufungua baadhi ya spea za pikipiki zao na kuzifunga kwenye pikipiki yake binafsi.

Pia, unyonya mafuta na kujilipa kama malipo yake ya utesaji. Je, nani anamtuma kufanya hivyo? Je, mamlaka za Ulinzi na usalama za Wilaya hazioni uozo huu?

Pili, Afande Gerald Johanes amekuwa akiwateka wadaiwa wa madeni/ riba za mpunga ambapo huwapatia TSH 20000 na kuwataka warejeshe TSH 70000 au Gunia 1 la Mpunga. wanaoshindwa kulipa Kwa wakati huambulia kipigo Cha Mbwa, kiwasweka Rock up, yaani Mahabusu ndogo Kwa Zaidi ya Siku 14 bila kuwapelekwa mahakamani kinyume na Sheria zinavyotaka. Aidha huwalazimisha kuuza mashamba na mifugo ambapo yeye pia ni mbia wa ununuzi ikiwatumia baadhi wa wananchi wasio waaminifu. Nenda ukaulize viunga vya Kasanu, Mkonko, Malangwa, Usoche, Ntembo huyu askari anaogopeka kuliko Idd Amin Dada. Je, nani anampa baraka za kufanya hivyo? Nani anampa baraka za kuwadai Watanzania maskini Gunia 40 badala ya zile 6 alizowakopesha?

Tatu amekuwa akiwalazimisha baadhi wa mabinti marembo kuwa wapenzi wake hata Kama ni wake za watu. Niwakumbushe tu kwamba Yeye ndiye alikuwa anafanya kazi sambamba na Afande CLEOFAS ambaye ni marehemu aliyejimiminia risasi baada ya kumchinja mhudumu wa Afya KITUO cha Afya Kamsamba. Kama Afande Gerald Johanes alishirikiana na mwenzio Cleofasi kutoa uhai wa binti wa watu kisa wivu wa mapenzi, nani yupo nyuma yake? Hivi, anajua maaumivu aliyowapa wanafamilia wa winifrida?
Niwakumbushe tu kwamba mwezi agosti 2021 Afande Gerald alilazimisha kufanya tendo la ngono, yaani kumbaka binti Veronica (jina la pili nahifadhi Kwa ajili ya kutunza staha za binti tajwa) kwenye vichaka vya kuelekea Kijiji Cha Senga karibu na Shamba la Mzee Rikito/Benedikto. Nani anamtuma? Kigogo yupi anampa Mamlaka haya?

Nne, nani anamtuma Afande Gerald Johanes kumfuatilia Leonia Daniel Silinde? Mama huyu ameshindwa kufanya kazi zake za Shamba pale Kijiji Cha Mkonko kwani Afande Gerald amekuwa akimpigia simu na kumtaka wakutane wakiwa wawili muda wa jioni shambani kwake? Je, Gerald ana Nia gani na mama wa watu? Je, anataka kumuua kama walivofanya Kwa Winifrida? Kama mama wa watu ana hatia kwanini Afande Gerald asiende Ofisini au nyumbani Kwa mhusika ambaye amekuwa akimsisitiza kwamba awezi kukutana naye shambani wakiwa wawili labda Afande Gerald Johanes afike nyumbani Tena mbele ya ushahidi. Hivi Afande Gerald Johanes kweli hajui kuwa simu anazompigia mama wa watu kupitia namba yake +255768555173 zinarekodiwa. Hajui Kuna TCRA? Hajui NIDA wapo? Hajui Cyber-police wapo? Hakika Kuna mtu wenye mkono kwenye kaputula la Max Yuko nyuma yake.

Nimkumbushe tu Afande Gerald kuwa huyu Mgambo wa Kijiji Cha Mkonko, Joycer Alkado Mnyambwah anayemtumia kuteka watu Kijijini amekuwa akionekana mara Kwa mara maeneo ya Koeko na Namisinde wakiwa na Afande Gerald. Kimsingi ni maeneo ambako mashamba ya mama huyu yanapatikana. Je, Gerald huwa anatafuta Nini uko?

Tano, nani alimtuma Afande Gerald na mwenzio Hassan ambaye ni kichaa Saizi kumpambikizia kesi ya bangi Mzee Simwiche wa Mkumba-Kijiji Cha Senga? Nani alipata mgao wa zile milioni 8 na vipande walizochoto Kwa Mzee uyu? Afande Gerald Johanes MUNGU wako ni mwema, pengine Leo ungekuwa unaokota makopo kama rafiki Yako Hassani.

Anachokifanya Saizi Afande Gerald Johanes ni mwendelezo wa yale aliyoyatenda pale KITUO cha polisi Galula-Wilayani Songwe. pale wenye asila Kali wakipita nae mpaka akazindukia baridi ya alfajiri. Je, nani anatoa baraka kwake kuendelea kutenda hayo?

Nitoe Rai Kwa viongozi wenye dhamana ya ulinzi na usalama, Mamlaka ya nidhamu zitende haki juu ya ukatili wa Afande Gerald Johanes.

Mtetezi wa wanyonge, Diwani wa kata ya Kamsamba na ndugu yetu Kyalambwene Joshua Kakwale kazi kwako. Sisi tutakupima 2025 Kwa utendaji wako. kama umeweza magumu hili naamini dogo sana. Mwambie Comrade Chikoti-Mwenyekiti wa Halmshauri yetu kwanini Afande Gerald Johanes awatesa wapiga kura wako?

Mkuu wa kituo Cha polisi Kamsamba, ---- Hekima zako sinashaka nazo. utatenda Kwa nafasi Yako.Tunajua mara nyingi umekuwa ukiwakanya Vijana wako juu ya tabia zao hatarishi, lakini walikofikia wanataka kusepa na kibarua chako. Vaa miwani ya chuma Kisha tenda jambo Kwa manufaa yetu na Yako.

OCD Momba Sina shaka na wewe Kwa weredi wako hakika utatenda jambo. Mzee wangu, Gabriel Makungu njoo uongee na Wana wa Kamsamba wakupe neno juu ya udhalumu wa askari wako Gerald Johanes.

mkuu wa wilaya ya Momba, ndugu yangu FACK RAPHAEL LULANDALA huyu jamaa anachafua mambo mengi uliyoyatenda Momba. wewe ndiye Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya. plz shugulika nae. Mkuu naamini unaweza kutenda na matumaini yangu kuwa litafika kikomo.

Mkimushindwa tutachukua: kofia yetu ya Jeshi la Polisi, tutachukua uhai wake Kwa kutumia mizimu ya Babu zetu wa Chimbo, kaputa, Sakalilo, Inunka, Itelefya n.k. Naamini mkazi wa mbutu Block E, Yericko Nyerere na Bingwa Mshana watatusaidia katika ulozi. Lakini kabla hatujafikia huku, busara itumike kwanza.
Poleni sana
 
Acha wale shuruba. Yan mtu mko na matatizo badala myapeleke aehemu husika unakimbilia sehemu za kawaida yan unariport jf.
Acheni mnyooshwe hadi wapate akili ili wajue matatizo yanareportiwa wap
Tuoneeni huruma watz wenzenu
 
Kijana umetelekeza kademu kako kamsamba kwenini kiongozi asile halafu unakuja kulia lia hapa na ujue mademu huwa wanawashobokea sana soja mpaka kujihisi ni bahati kuliwa na soja sasa acha awatafune we payuka tu.
 
Back
Top Bottom