Aeshi Hilaly (Mb-CCM): Nilitishwa na Makonda hadi sasa naogopa kwenda Dar kwa usalama wangu

IMG-20170411-WA0021.jpg
 
Lazima kuna kinachompa kiburi huyu bashite. Kwanza kwa kumkwida Warioba kipindi kile ingekuwa mimi au wewe hatua kali zingeshachukuliwa. Lakini watu husema "ngoma ikivuma sana ujue ikaribu kupasuka". Soon or later people will take matters on their hands.
gods must be crazy
 
Huyo dc wa Kinondoni ndiyo asimtetee Makonda? Bora hata usingeongea.
 
Sumbawanga kumbe uchawi umeisha mkwala kidogo tu katepeta
tatizo jamaa mjanja sana.anatumia jina la watu la kwake alilificha.kwa io yale makombora yakitupwa anayakwepa tu.yaanaenda kwa jamaamwingine maskini....cpati picha jamaauko kama hajapata ugonjwa wa akili mwaka huu
 
Back
Top Bottom