mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,183
Ebooooo kwani ubora wa msanii unatokana Na show zake anavyofanya au Muziki wake anaotoa?!Haaahaaa,Kwa hiyo tunatemekea Wasanii na Show zao.Nimekwambia nataka nione huyu msanii ambaye Wengi wanampa kichwa kuwa Amafunga na kufungua Mwaka kama Media zinambeba au Uwezo unajieleza.Kuhusu kuhudhuria Show ni Mazingira tuu lakini Toka Oldschool BongoFleva
Kama unataka show ya maana ungesubiri Koffi Olomide au Fall Ipupa waje.