ACT Wazalendo: Yapo mambo yanafanyika kwenye Muungano kwa Hisani tu kinyume Cha katiba lakini akija Kiongozi atakayefuata Katiba Zanzibar haina chake!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,075
164,394
Makamu wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake kikishika Dola basi Zanzibar itapewa Mamlaka yake kamili

OMO amesema kuna mambo yanafanyika kwenye muungano kwa hisani tu ila ni kinyume Cha katiba LAKINI akiingia Kiongozi atakayefuata Katiba basi Zanzibar haina chake

Source: Mwananchi

My take; Kiongozi atakayefuata Katiba ni TAL au 🐼
 
Makamu wa Rais wa Zanzibar mh Masoud Othman amesema Chama chake kikishika Dola basi Zanzibar itapewa Mamlaka yake kamili

OMO amesema kuna mambo yanafanyika kwenye muungano kwa hisani tu ila ni kinyume Cha katiba LAKINI akiingia Kiongozi atakayefuata Katiba basi Zanzibar haina chake

Source: Mwananchi

My take; Kiongozi atakayefuata Katiba ni TAL au 🐼
hatutafika huko, na wala hakuna haja ya kufikia huko :BASED:
 
Makamu wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake kikishika Dola basi Zanzibar itapewa Mamlaka yake kamili

OMO amesema kuna mambo yanafanyika kwenye muungano kwa hisani tu ila ni kinyume Cha katiba LAKINI akiingia Kiongozi atakayefuata Katiba basi Zanzibar haina chake

Source: Mwananchi

My take; Kiongozi atakayefuata Katiba ni TAL au 🐼
Adui wa Zanzibar huru yenye mamlaka kamili CCM.
 
IOC iliishia wapi vile na nia yake ilikuwa nini. G55 nayo jee.
Nafikiri tuuu lakini .AKAPASUA MBAO ZILIZOANDIKWA !!!!
 
hatutafika huko, na wala hakuna haja ya kufikia huko :BASED:
Hakuna anayetaka tufike huko bali tutalazika kufika huko kwa kibri ya watawala kupuuzia malalamiko ya watanzania wa pande zote juu dosari za muungano zinazoletwa na muundo wa muungano. Kila anayehoji dosari za muundo wa muungano huu anaonekana anataka kuvunja muungano. Lakini ukweli wanaopuuzia dosari hizi ndiyo wanasababisha muungano huu kuvunjika,na hilo haliepukiki.
 
Makamu wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake kikishika Dola basi Zanzibar itapewa Mamlaka yake kamili

OMO amesema kuna mambo yanafanyika kwenye muungano kwa hisani tu ila ni kinyume Cha katiba LAKINI akiingia Kiongozi atakayefuata Katiba basi Zanzibar haina chake

Source: Mwananchi

My take; Kiongozi atakayefuata Katiba ni TAL au 🐼
Wanataka iwe na chake kipi cha ziada, mbali ya kuwa sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Huyo kiongozi wanayemsema anatakiwa ajitokeze haraka sana kabla Samia hajawafanyia kazi wanayomtaka aifanye, ya kuvunja muungano.
 
Back
Top Bottom