Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 18,071
- 20,570
Tuko pamoja mkuuTrump amesema kwamba Kama ingekuwa ni kwa wingi wa kura angeelekeza kampeni yake Kwenye Majimbo husika na angeshinda. Kwa kuwa ni utaratibu wao ule (electoral college) basi alifanya Kama ambayo ilimpasa. Alisema nguvu zake Katika Majimbo ambayo yangempa ushindi unaokubalika kikatiba "electoral college votes 270."