Mpaka sasa ACACIA wameshindwa kutoa hati yao ya usajili hadharani.Kwasababu hawana.Barrick wametoa.Acacia wametoa letter of intentition to consider usajili walioandikiwa wa BRELA.LAKINI certificate of compliance ambayo ni takwa la kisheria kifungu cha 435 cha sheria ya makapuni hawajaitoa. HAWANA CHETI HIKI.Walijificha nyuma ya mkongo wa BARRICK kama Holding kampani wakati haya ni makampuni mawili tofauti, yenye haki na wajibu tofauti. ACACIA WEKENI HATA YA USAJILI WENU HADHARANI ILI YAISHE. Note:Sheria ya makampuni kifungu cha 472 inasema wazi kabisa kuwa kumpuni kufanya shughuli zake bila usajili ninkosa la jinai.Adhabu ni kifungo jela.Kanuni ya lifting of the veil inataka wakurugenzi wa ACACIA wakamatwe na waburuzwe mahakamani kwa kosa hilo la jinai.