ACACIA: Tumekula hasara bilioni 40 kwa wiki mbili baada ya kuzuia kupeleka mchanga nje. Tutawafidia?

We don't have to sympathize with investors who have milked us dry for years(ref. 3% royalty from mining). What JPM has done is not worse than what Mwalimu did in 1967(nationalization). However, as we wake up from socialism slumber, we have to learn to be pro-business. Our government could have discussed this move with investors before coming up with a political rhetoric.
 
hii habari ni uongo acha siasa mkuu kama mambo uyajui nyamaza tu uzalishaji wa mgodi mkubwa wa north mara ambao ni wa acacia unatoa bilion 400 kwa mwaka mmoja .....

sasa hiyo midogo ya acacia iliyobaki inatoa kiasi gani?........

bilion 20 kwa wiki mbili maana yake ni 20 ×26 ni bilion 520 kwenye mchanga tu ?.....

Hiyo kitu haipo mimi nina uhakika hii taarifa ni ya kupika........

hii taarifa ina makengeze na itakanushwa.........
Mbona mnamshambulia mleta uzi wakati taarifa rasmi ya wenye mgodi imeambatanishwa? Wanajenga mazingira ya kuifilisi nchi na wataifilisi mkifanya mchezo. Mikataba yenyewe ilisainiwa gesti bila hata kujua kilichoandikwa humo maana hata lugha yenyewe utata. Tukubali tumepigwa tayari bora tu kuchutama tufiche aibu.
 
Kiongozi ukiacha tu kuwabana wapinzan namna unavyowabana kura yangu kama wapinzan hawatelekez wale waloyotuhaid wananchi pamoja na kuwapa baadhi ya halmashauri waamue watakavyo mkulu tegemea kura yangu kukurudisha magogoni ugomvi wa tembo awamu hii sio tu nyas tunaoumia had tembo mijamaa haijawah kututangazia nyuma ilikuwa inapiga sh ngap Leo inalalamika haya n majipu kwa maslah ya nchi tuunge mkono vitu kama hivi
 
Hivi hayo madini apart from ajira kwa wazawa faida ingine ni nini,maeneo ya kuzunguka hiyo migodi ukipita huko ni full umaskini,bora tuyaache ardhini aseee
Inawezekana kweli hayana faida kutokana na ubovu wa mikataba iliyoingiwa; hata wakitimuliwa kwa maslahi ya nchi mimi it is OK. Ila tukubali tumepigwa; nchi itawalipa fidia isiyo kifani; huo ndio ukweli.
 
Mkataba ulikuwa kwenye dhahabu tu lkn mchanga ukafanyiwa mazungumzo ya kawaida haumo kwenye mkataba
Hao jamaa wako smart kuliko unavyofikiri; si wajinga kihivyo. Ni lazima kuna kipengele somewhere kinawalinda.
 
Kwa maana hiyo ni wastani wa 20bn/- kwa wiki. Maana yake ni kwamba kwa mwaka ni 20bn x 52 = 1040bn/=. Kwa miaka mitano ni 1020bn x 5 = 5.2 tr./= ambapo watafungua kesi kudai fidia ya kuvunja mkataba. Kwa mwendo huu kuna siku hii nchi itafilisika rasmi. Hope mkataba uko vizuri in favor of the public interest na sio kama ile ya IPTL, Symbion, et. al.
Kama ndio hivyo kabla ya kuzuiwa walikua wakideclare mapato haya? Kama hapana basi wametuibia pesa nyingi.
 
Kampuni ya Acacia imedai kula hasara ya bilioni 40(dola milioni 17 baada ya mkataba wake wa kupeleka mchanga nje kuvunjwa.

Wamesema wanaangalia "options" zote zilizo upande wao,nadhani la kwenda mahakamani kudai fidia pia liko mezani

Wiki mbili bilioni 40,je mgogoro huu ukimaliza mwaka au miaka miwili itakuwa pesa ngapi na riba na magharama ya usumbufu? Atalipa nani,kwa kuzitoa wapi?

Bado kuna symbion power,mgodi wa dutwa...........

Tusubiri tuone filamu hiiView attachment 482474
Wakafie mbele huko pambafu kweli hawa
 
Kwa maana hiyo ni wastani wa 20bn/- kwa wiki. Maana yake ni kwamba kwa mwaka ni 20bn x 52 = 1040bn/=. Kwa miaka mitano ni 1020bn x 5 = 5.2 tr./= ambapo watafungua kesi kudai fidia ya kuvunja mkataba. Kwa mwendo huu kuna siku hii nchi itafilisika rasmi. Hope mkataba uko vizuri in favor of the public interest na sio kama ile ya IPTL, Symbion, et. al.
Tanzania.ni zaidi ya uijuavyo na ndio maana bwana wale watafanya juu chini waendee kubaki kunako muongozo manake akiingia jirani humo tutayaona ya firauni
 
sijaelewa, inamaana kwa wiki mbili walitakiwa kupata bil.40 na kutokana na kuzuiwa kusafirisha mchanga wamezikosa au? kama kila wiki wanapata 40b, kwa mwezi ni 80 bil. mara miezi 12 ni shilingi ngapi? ni shs. 960bl hiyo ni kwa mchanga unaosafirishwa tu, ambayo ni asilimia ndogo sana. asilimia kubwa wanasafishia dhahabu hapahapa. sas atujiulize, hawa jamaa inawezekana kwa mwaka wanapata hata trillion za kitz tano(5) hivi, je? mtaji wao waliowekeza hata dola bil.3 hazijafika hapa tz, kwa miaka yote hiyo wametengeneza shil. ngapi na sisi tumepewa gawiwo au kodi shil. ngapi?

tunachofaidia kwao ni hela ndogo sana plus mishahara kwa wafanyakazi wao ambao hata elfu kumi hawafiki. tusemeje sasa hapo?
Magu bado mnamuona kichaa
Sasa kama hujui mkataba unasemaje, umejuaje kama wanachosema ni kweli?

Huo ukweli unaosemwa ni upi wakati hujui hata mkataba unasemaje.
 
Kwa maana hiyo ni wastani wa 20bn/- kwa wiki. Maana yake ni kwamba kwa mwaka ni 20bn x 52 = 1040bn/=. Kwa miaka mitano ni 1020bn x 5 = 5.2 tr./= ambapo watafungua kesi kudai fidia ya kuvunja mkataba. Kwa mwendo huu kuna siku hii nchi itafilisika rasmi. Hope mkataba uko vizuri in favor of the public interest na sio kama ile ya IPTL, Symbion, et. al.
Na husisahau kuhusu "viazi" vya kwenye lile shamba letu la Attorney General.
 
Hii ishu ni serious but viongozi wataichukulia poa,ikiendelea kukomaa jamaa watafunga migodi ya buzwagi na bulyahulu.Hivyo export ya gold itadropu sana this year.Viongozi wetu wawe makini na matamko wanayotoa yatafukuza wawekezaji hata waliopanga kuja kuwekeza.
Na symbioni nao wamekimbilia mahakamani inasemekana duuu
Kama hawana faida bora wakimbie tena haraka
 
Kwa maana hiyo ni wastani wa 20bn/- kwa wiki. Maana yake ni kwamba kwa mwaka ni 20bn x 52 = 1040bn/=. Kwa miaka mitano ni 1020bn x 5 = 5.2 tr./= ambapo watafungua kesi kudai fidia ya kuvunja mkataba. Kwa mwendo huu kuna siku hii nchi itafilisika rasmi. Hope mkataba uko vizuri in favor of the public interest na sio kama ile ya IPTL, Symbion, et. al.
Na walikuwa wanauchukua bure. Hawakuwa wanaulipia kodi. Walisema hauna faida. Yaanj nchi hii tunaibiwa. Let them go anywhere and we will not pay them come whatever.
 
Back
Top Bottom