Huwajui wazungu wakiwa wanakutafuta unaweza kuwashika jichoni lakini wanajua kona wakayo ku pin.ngoja tusubiri. Ila barua imeandikwa kipole kuliko maneno ya watetezo wao watanzania wenzetu humu. Yaani hata kabla ya wao kufikiria mahakamani kuna watanzania wanatamani wangekuwa ni wao ili wawe mahakamani sasa hivi...