Aliyekua Golikipa wa Simba na Timu ya Taifa ya Uganda (Korongo) Abel Dhaira amebainika kusumbuliwa na saratani ya utumbo mpana (colon cancer) na sasa anaendelea kugangwa kwa dawa (chemotherapy) ili kuondoa seli za saratani huko nchini Iceland. Tiba hii ni mbadala ya mionzi iliyokuwa ikitumika hapo kabla